K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,112 Reaction score 4,540 Apr 29, 2012 #1 Ikiwa nitaamua kutengeneza bidhaa, mfano nguo, hususani T-Shirt na kuweka alama za Taifa kama; pendera, fedha, nembo n.k, je nitakuwa nimetenda kosa? Naomba kuwakilisha.
Ikiwa nitaamua kutengeneza bidhaa, mfano nguo, hususani T-Shirt na kuweka alama za Taifa kama; pendera, fedha, nembo n.k, je nitakuwa nimetenda kosa? Naomba kuwakilisha.