Je ntakuwa nimefanya kosa?

Je ntakuwa nimefanya kosa?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Ikiwa nitaamua kutengeneza bidhaa, mfano nguo, hususani T-Shirt na kuweka alama za Taifa kama; pendera, fedha, nembo n.k, je nitakuwa nimetenda kosa?
Naomba kuwakilisha.
 
Back
Top Bottom