sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Habarini wadau.
kuna sehem haina umeme na inalazimu kutumia torch kwa ajili ya mwanga, sasa hii tochi ina battery moja na kila siku inabidi uweke battery mpya.
hapo kwa mwezi ni kama elf 15.
hio sehem nikawafundisha kuunganisha battery 2 kila zikiisha, nazo zikiisha zinaunganishwa 4, zikipungua uwezo zinaunganishwa 6 kama zamani vijinini walivyokuwa wanaunganisha mabetri mengi kwajili ya radio za mkulima.
Sasa katika pita zangu mtandani nimekuta kuna holder za battery 6 kama hio ya kwenye picha sema nayoitaka ni zile za battery kubwa za jero, bei nakumbuka haizidi elf 7
Sasa swali langu, je nikiweka mbili na ku connect kwenye torch itakubali?