Je ntulantu ni dawa?

Samireal

Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
88
Reaction score
22
Nimewahi kusikia kuwa ntulantu ni dawa japo sina uhakika, naomba kufahamu kama kweli ni dawa na kama ni dawa je inatibu ugonjwa gani/kitu gani na matumizi yake yapoje?

Siifahamu kwa jina lingine.
 
Inaitwa pia "matula" au nyanya chungu pori.Inatibu uvimbe wa tezi za taya na shingo almaaruufu " bhutuyuyu"
Nimewahi kusikia kuwa ntulantu ni dawa japo sina uhakika, naomba kufahamu kama kweli ni dawa na kama ni dawa je inatibu ugonjwa gani/kitu gani na matumizi yake yapoje?

Siifahamu kwa jina lingine.View attachment 1182120
 
Inaitwa pia "matula" au nyanya chungu pori.Inatibu uvimbe wa tezi za taya na shingo almaaruufu " bhutuyuyu"
Sorry mzee wa bhushuwanzobe ng'ema kwa bhutuyuyu unafanyaje? Pia nafahamu ni kama dawa ya jino hizo matula watoto wa mjini wanaziita ndula au ndulele
 
Write your reply...hapo kwenye jino na mm nitaji kufaham
 
Duh umenikumbusha mbali sana kuna jamaa ýang ni mmasai sku moja mimi na yeye tulikuwa na ombi flan Hv kwa boss na ilibid tuongee nae face to face akanishauri tuchimbe mizizi yake tutafune wakati tunaongea nae tukafanyaivo dah nilikuta boss anakubali bila hata kuhoji mambo ya imani hay ilibd nianze kuamni ni dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…