Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewahi kusikia kuwa ntulantu ni dawa japo sina uhakika, naomba kufahamu kama kweli ni dawa na kama ni dawa je inatibu ugonjwa gani/kitu gani na matumizi yake yapoje?
Siifahamu kwa jina lingine.View attachment 1182120
Sorry mzee wa bhushuwanzobe ng'ema kwa bhutuyuyu unafanyaje? Pia nafahamu ni kama dawa ya jino hizo matula watoto wa mjini wanaziita ndula au nduleleInaitwa pia "matula" au nyanya chungu pori.Inatibu uvimbe wa tezi za taya na shingo almaaruufu " bhutuyuyu"