Je, nyani jike au sokwe jike wanapata hedhi?

Je, nyani jike au sokwe jike wanapata hedhi?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Naomba nifahamishwe Kama Kuna anayejua jibu la swali langu maana nyani jike au sokwe wapo Kama sisi.
 
Hawapati,
kwa lugha ya ki HKL,Sokwe hapati siku zake kwa sababu ana mfumo tofauti na wa binadamu,watu wa Bios wataendelea zaidi
Heeee Sasa wao na sisi mbona ni replica isipokuwa manyoya
 
Naomba nifahamishwe Kama Kuna anayejua jibu la swali langu maana nyani jike au sokwe wapo Kama sisi.
Kuliongezea awali lako, mm najiulizaga tofauti ya kimfumo ipoje kati ya binadamu na mammalia wenzake maana hata wanyama kama ngombe, mbwa ,paka n.k hawahitaji Pedi, !

Kisayansi physiology itatuletea majawabu lazima lakini kiroho hili linadhihirisha Ile laana ya kuzaa kwa uchungu iliyopiga eneo Hilo la binadamu wa kike kuwa wanyama wakike haikuwahusu!
 
Wanapata ila inakuwa vigumu kuonekana kwa sababu yai likikomaa dume anakuwa alishanusa harufu na kulirutubisha,na hatimaye kutokumwagika.
 
Nilifika Gombe National Park Hao Jamaa Wengi Wanakuja Karibu. Acha Jobo Aje Ajibu
 
Back
Top Bottom