The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Tunapoelekea ni wapi kama viongozi wa familia wameanza kushikana mashatiBaba ni kicjwa cha familia, haswa kwa nyumba ambayo mama ni kichwa maji, bila ya baba ni mateso bila chuki
Hahaha sio walezi wamewalea vibaya watoto wa kambo?Tatizo ni watoto wa kambo
Kazi kweli kweliMpaka sasa ndio wamepata nguvu ya kuongea ndio mwanzo wa kujikwamua kwao
Ukiona mvuke, jua joto la ndani ninkali zaidi... aidha waipue, wapunguze mkaa ama tusubiri vikaukie kabisa.Tunapoelekea ni wapi kama viongozi wa familia wameanza kushikana mashati
True say, ngoja tusubiri tuone watakachofanyaUkiona mvuke, jua joto la ndani ninkali zaidi... aidha waipue, wapunguze mkaa ama tusubiri vikaukie kabisa.
Anko kakabidhiwa.Kwa haya yanayoendelea mimi kama kijana yananifikirisha kiukweli,ni kama kuna kitu kinamiss sidhani kama tushawahi pitia hali kama hii kabla
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1DccRyaBBW/ https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1EGHcVzfu1/
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1F3pb91mTn/
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1HsAGK9VGK/
Ama ndiyo tuseme karma is real, imeanza kuwatafuna wenyewe?
Au Nyumba imekosa mlezi sahihi?
Nachanganyikiwa mjukuu wenu.