Je, nyumba za mawaziri Mikocheni nani anaishi kwa sasa?

Naona zipo zipo tu kuna nyingine kuna watu ndani nyingine majani yameshazunguka nyumba nzima hakuna watu
 
Ni rahisi kumpa nyumba Dodoma na Dar kuliko kumkodia hoteli, amini usiamini ni hivyo.
 
Hizi nyumba kwa huku DSM sasa hazina kazi kwanza wengi wana nyumba zao huku hawahitaji nyumba za serikali.
Naona zipo zipo tu kuna nyingine kuna watu ndani nyingine majani yameshazunguka nyumba nzima hakuna watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…