Je, nyumba zisizo na umeme zimesamehewa kodi ya jengo?

Je, nyumba zisizo na umeme zimesamehewa kodi ya jengo?

Hii imenikumbusha enzi zile tunalipa motor vehicle TRA magari yale ambayo motor vehicle zime expire tulikuwa tubatembea usiku serikali ikiwa imelala ikifika asubui tuna ya park walivyo futa na kuiamishia kwenye mafuta ata wale wanaolima bustan kwa umwagiliaji tunailipa ile kodi ,mimi niona ni sawa tuu.
 
kodi ya jengo inalipwa mara moja kwa mwaka, sasa ikitokea mpangaji ameishi miezi 6 tu akahama inakuwaje?
Ataenda kuilipia kule atakakohamia, iwe amehamia kwenye nyumba yake au stakayoenda kupanga tena,
 
kodi ya mwaka inagawanywa kwa miezi 12,kwa hiyo hapa kama kila mwezi ni 1000,maana yake kwa mwaka ni 12,000/=.Mpangaji akikaa miezi sita atakuwa amenunua umeme wa miezi 6 ,hivyo amelipa 6,000/=.Inayobaki atalipa atakaye itumia hiyo luku baadaye.
Hata huyo aliyehama ataenda kulipia mbele kwa mbele, mimi binafsi napongeza hii style ya indirect tax, ipo efficient na less painful
 
Sasa wale waliokuwa wamesamehewa kodi ya majengo especially wazee msamaha huo umefutwa
Ni jambo ambalo linaweza kuwa accomodated, kama hata sasa kuna wazee tariff zao za umeme zipo tofauti, zina msamaha in a way, so hata wazee wenye exemption ya kulipa property tax wanawexa kuendelea kutolipa kwa mfumo huu mpya
 
Ikitokea mtu yuko mjini akahamia kwenye Solar, waziri wetu kajipangaje kukusanya kodi kwa watu wa aina hiyo?..
Wabunge wa kujadili na kushauri unawaona kwenye lile jengo?

Yetu macho!

Laini 3-4, umesajilia na watoto under 18, wataangalia kitambulisho ni kimoja? Au ndiyo unavunja sheria kulipa kodi mara 3-4??
Hii kitu imenipa ukakasi, wabunge wachangie pato la Taifa, mishahara yao ikatwe kodi.

Everyday is Saturday................................😎
 
Serikali inapendekeza Kukusanya kodi za majengo kwa kutumia Luku.najiuliza tuu,vipi nyumba zisizo na umeme,je zimesamehewa kodi ya majengo?
Kunahitajika marekebisho kwenye hilo pendekezo
 
Wapangaji si ndiyo wanaishi humo? Ki-mantiki wapangaji wanamiliki hizo nyumba kwa kipindi cha kodi zao "right of use"
Kwa muktadha huo basi mimi namiliki nyumba na kesho natoa vigae vyote vya nyumba yangu naenda kuuza
 
Kuna majengo ya Serikali kama vile Shule na hospitali zitaanza kulipishwa kodi ya majengo
 
Serikali inapendekeza Kukusanya kodi za majengo kwa kutumia Luku.najiuliza tuu,vipi nyumba zisizo na umeme,je zimesamehewa kodi ya majengo?
Itakuwa fixed rate au ukusanyaji nao utafuata TARIF?
 
sasa mtu atapangiwaje matumizi yake ya umeme ,kuna watu wanabania matumizi ya umeme acha tu!
umeme wa elfu kumi atatumia kwa miezi hata 2,
na kama ni msela au mtu anayesafirsafiri anaweza asinunue umeme mara kwa mara
Siku utakayonunua utakatwa tu, Kama ilivyokuwa kipindi cha service charge ya tsh. 5000
 
Mkuu hapa umenishtua, kuanzia sasa nitatumia solar na generator
Unaweza ukajikuta unakimbia kulipa Tshs. 12,000/- kwa mwaka kwa kuwa na LUKU, ukahamia kwenye mafuta ya DIESEL ambayo kwa mwaka bei inaweza ikawa kubwa sana..AU kwenye solar ambako initial cost ni kubwa pia
 
Kuna majengo ya Serikali kama vile Shule na hospitali zitaanza kulipishwa kodi ya majengo
Hapana, mita zilizopo kwenye majengo tajwa ya serikali zinapewa msamaha wa makato ya kodi hii. Ni rahisi kulitekeleza hili kwa sababu kila mita ina "anuani yake" (namba ya mita).
 
Serikali inapendekeza Kukusanya kodi za majengo kwa kutumia Luku.najiuliza tuu,vipi nyumba zisizo na umeme,je zimesamehewa kodi ya majengo?

Mita za luku ni nyingi kuliko hata hizo nyumba zisizo na umeme
 
Back
Top Bottom