greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,321
- 3,956
Ataenda kuilipia kule atakakohamia, iwe amehamia kwenye nyumba yake au stakayoenda kupanga tena,kodi ya jengo inalipwa mara moja kwa mwaka, sasa ikitokea mpangaji ameishi miezi 6 tu akahama inakuwaje?
Kwenye genereta utakutana na sh.100 kwenye kila lita ya mafuta, hahahahahaMkuu hapa umenishtua, kuanzia sasa nitatumia solar na generator
Hata huyo aliyehama ataenda kulipia mbele kwa mbele, mimi binafsi napongeza hii style ya indirect tax, ipo efficient na less painfulkodi ya mwaka inagawanywa kwa miezi 12,kwa hiyo hapa kama kila mwezi ni 1000,maana yake kwa mwaka ni 12,000/=.Mpangaji akikaa miezi sita atakuwa amenunua umeme wa miezi 6 ,hivyo amelipa 6,000/=.Inayobaki atalipa atakaye itumia hiyo luku baadaye.
Ni jambo ambalo linaweza kuwa accomodated, kama hata sasa kuna wazee tariff zao za umeme zipo tofauti, zina msamaha in a way, so hata wazee wenye exemption ya kulipa property tax wanawexa kuendelea kutolipa kwa mfumo huu mpyaSasa wale waliokuwa wamesamehewa kodi ya majengo especially wazee msamaha huo umefutwa
Wabunge wa kujadili na kushauri unawaona kwenye lile jengo?Ikitokea mtu yuko mjini akahamia kwenye Solar, waziri wetu kajipangaje kukusanya kodi kwa watu wa aina hiyo?..
Kunahitajika marekebisho kwenye hilo pendekezoSerikali inapendekeza Kukusanya kodi za majengo kwa kutumia Luku.najiuliza tuu,vipi nyumba zisizo na umeme,je zimesamehewa kodi ya majengo?
Kwa muktadha huo basi mimi namiliki nyumba na kesho natoa vigae vyote vya nyumba yangu naenda kuuzaWapangaji si ndiyo wanaishi humo? Ki-mantiki wapangaji wanamiliki hizo nyumba kwa kipindi cha kodi zao "right of use"
Bora serikali ya magufuliWakikukosa kwenye luku wanakupiga kwenye vocha, wametanua tax base, akili kubwa, kila raia atalipa kodi
Kwanini mkuu ?Bora serikali ya magufuli
Taarifa inasema utawekwa utaratibu mzuri kwa ajili ya nyumba zenye mita zaidi ya moja na pia nyumba nyingi zinazotumia mita moja. Nadhani hili halishindikani.Kuna NYUMBA KILA CHUMBA KINA LUKU ITAKUWAJE
Pinga pinga wa dikteta mpo kaziniWamepuyanga sana safari hii. Shame.
Itakuwa fixed rate au ukusanyaji nao utafuata TARIF?Serikali inapendekeza Kukusanya kodi za majengo kwa kutumia Luku.najiuliza tuu,vipi nyumba zisizo na umeme,je zimesamehewa kodi ya majengo?
Siku utakayonunua utakatwa tu, Kama ilivyokuwa kipindi cha service charge ya tsh. 5000sasa mtu atapangiwaje matumizi yake ya umeme ,kuna watu wanabania matumizi ya umeme acha tu!
umeme wa elfu kumi atatumia kwa miezi hata 2,
na kama ni msela au mtu anayesafirsafiri anaweza asinunue umeme mara kwa mara
Unaweza ukajikuta unakimbia kulipa Tshs. 12,000/- kwa mwaka kwa kuwa na LUKU, ukahamia kwenye mafuta ya DIESEL ambayo kwa mwaka bei inaweza ikawa kubwa sana..AU kwenye solar ambako initial cost ni kubwa piaMkuu hapa umenishtua, kuanzia sasa nitatumia solar na generator
Umeambiwa kwa mwezi inakatwa elfu moja tu dada!!Nikinunua umeme kwa mwezi mara 2 au zaidi inakuwaje?
Hapana, mita zilizopo kwenye majengo tajwa ya serikali zinapewa msamaha wa makato ya kodi hii. Ni rahisi kulitekeleza hili kwa sababu kila mita ina "anuani yake" (namba ya mita).Kuna majengo ya Serikali kama vile Shule na hospitali zitaanza kulipishwa kodi ya majengo
Serikali inapendekeza Kukusanya kodi za majengo kwa kutumia Luku.najiuliza tuu,vipi nyumba zisizo na umeme,je zimesamehewa kodi ya majengo?