mwalimu wa mtaani
New Member
- Jul 6, 2025
- 2
- 2
Mimi ninatamani kufungua ofisi ya ushonaji, nina cherehani zangu mbili nataka nijue kuna utaratibu gani niufuate ili nisisumbuliwe na either TRA au manispaa.
Tafadhali wenye ujuzi na haa masuala mnisaidie naomba sana.
Tafadhali wenye ujuzi na haa masuala mnisaidie naomba sana.