M mwalimu wa mtaani New Member Joined Jul 6, 2025 Posts 2 Reaction score 2 Sep 22, 2025 #1 Mimi ninatamani kufungua ofisi ya ushonaji, nina cherehani zangu mbili nataka nijue kuna utaratibu gani niufuate ili nisisumbuliwe na either TRA au manispaa. Tafadhali wenye ujuzi na haa masuala mnisaidie naomba sana.
Mimi ninatamani kufungua ofisi ya ushonaji, nina cherehani zangu mbili nataka nijue kuna utaratibu gani niufuate ili nisisumbuliwe na either TRA au manispaa. Tafadhali wenye ujuzi na haa masuala mnisaidie naomba sana.