Je, oil ya petrol italinda kenchi zangu?

Je, oil ya petrol italinda kenchi zangu?

Duh petrol ni hatari sana. Siku ukiwasha mshumaa au jiko la gesi ikakamata kwenye kenchi huna nyumba. Nani alikushauri kufanya hicho kitu? Risk sana aisee usilale kwenye hiyo nyumba kabla huja-neutralize hiyo kemikali hatari kuliko zote duniani
Duh!we ndo hujaelewa....inayozungumziwa hapo ni oil ile ya lubrication sio fuel
 
Labda wasiwasi wangu upo katika kudumu kwa 'petrol' katka mbao zako. Petrol inatabia ya 'kuvepa' haraka tofauti mafuta mengine kama oil chafu.
Kuzuia wadudu inaweza Ila haiwezi dumu, itaondoka mapema kwa njia ya gesi.
Oil chafu ni nzuri kwa sababu hudumu, hukaa muda mrefu. Petrol pengine ingefaa katika kulainishia oil chafu (Kama nzito Sana) na si kutumika peke ake
Hujamuelewa,inazungumzwa lubrication oil,sio fuel
 
Jamani mnazidi kumchanganya muuliza swali, ni kwamba kuna oil kwa ajili ya engine za petrol na oil kwa ajili ya engine za dizeli. Sasa yeye katumia oil safi ambayo haijatumika ya petrol engine. Ndio inakuwa nyeupe haijachafuka ikitumika inakuwa nyeusi.
Hakuna oil nyeupe mkuu,oil ikiwa mpya inakua na rangi km mafuta ya kula tu
 
unapulizia kwa spray tank
Nafikiri oil chafu unaweza weka kwenye shimo la choo na kikasinyaa pia kwakua ule uchafu unaliwa na mafuta plus wale wadudu wanaootesha/sambaza uchafu wanakufa pia na choo kinakua kisafi nakupungua ujazo pia.
Hasa kipindi hiki chamvua tafuta oil chafu weka ipe cku kadhaa utanipa majibu
 
Habari wana JF

Nimepaka oil ya petrol ambayo sio nyeusi sana kwenye kenchi zangu, ila nimekuwa na wasiwasi kama zitazilinda kenchi dhidi ya mchwa au inatakiwa oil yenye weusi mwingi kama ya diesel?

Naomba ushauri wako tafadhari.
Oil ya Petrol ni kitu gani? Tuanzie hapo kwanza...
 
Nafikiri oil chafu unaweza weka kwenye shimo la choo na kikasinyaa pia kwakua ule uchafu unaliwa na mafuta plus wale wadudu wanaootesha/sambaza uchafu wanakufa pia na choo kinakua kisafi nakupungua ujazo pia.
Hasa kipindi hiki chamvua tafuta oil chafu weka ipe cku kadhaa utanipa majibu
Mmh jamaa

Mbona kitaalamu wanasema wale wadudu ni muhimu wafanye kazi yao juu ndio kisijae haraka.

!!?
 
Back
Top Bottom