Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwa vile kuna ushahidi wa kutosha wa uhalifu uliofanywa na DC duni wa zamani wa Hai aliyefahamika kwa jina la Ole Sabaya akishirikiana na OCD wa eneo hilo , sasa ni dhahiri atafunguliwa mashitaka ya Kutumia madaraka yake vibaya kwa kushiriki kupora pesa za raia kwa vitisho na kwa kutumia silaha za umma.
Je atakamatwa lini?
Je atakamatwa lini?