BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtasubiri sana sioni akishtakiwa watoto wa mjini wanasemaga imeisha hiyoTaarifa zinaonyesha kwamba huyu jamaa hatoki !
Mkuu, tangu barua ya utenguzi itoke, Sabaya atakuwa chini ya takukuru na tissKwa vile kuna ushahidi wa kutosha wa uhalifu uliofanywa na DC duni wa zamani wa Hai aliyefahamika kwa jina la Ole Sabaya akishirikiana na OCD wa eneo hilo , sasa ni dhahiri atafunguliwa mashitaka ya Kutumia madaraka yake vibaya kwa kushiriki kupora pesa za raia kwa vitisho na kwa kutumia silaha za umma .
Je atakamatwa lini ?
Mkuu umesahau Yona na Mramba?Mmh ni ngumu kiongozi kufungwa
Labda
Hahaha ni yeyeGENTAMYCINE una mbwembwe.
Kama vile bwana MAGESA MULONGO.Kufungwa hatafungwa,sema ataishi kwa kudankdank sasa
Ova
Walikuwa wakimwogopa, mbona waliosababishiwa maumivu walikuwa hawjamlia 'timing' wakati wote huo? Kweli Tanzania ni nchi yenye watu wapenda amani kwelikweli. Kwingineko angekuwa alishapewa haki yake.Huyu kijana kuna lundo la ushahidi usio na shaka juu yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Katiba ya nchi hii viongozi kufungwa ni ngumu sana,labda atapewa fagio la kufanya usafi Mt Meru Hospital
Presedence?DPP ajaye akichukua file na kuelekea Mahakamani yeye na Majaji watakaosikiliza hii kesi watakuwa watu muhimu sana kwenye siasa na utawala bora kwenye hii nchi.
Wana nafasi ya kuwaambia viongozi hasa vijana hii nchi ina sheria si ya kucheza nayo na hakuna aliye juu ya sheria. Watajenga presedence yakueleweka na kusaidia sana hii nchi
Hawezi kushitakiwa kwa video za kugushi , Ole sabaya aliyokuwa anayafanya yalikuwa na baraka za dikteta uchwaraKwa vile kuna ushahidi wa kutosha wa uhalifu uliofanywa na DC duni wa zamani wa Hai aliyefahamika kwa jina la Ole Sabaya akishirikiana na OCD wa eneo hilo , sasa ni dhahiri atafunguliwa mashitaka ya Kutumia madaraka yake vibaya kwa kushiriki kupora pesa za raia kwa vitisho na kwa kutumia silaha za umma .
Je atakamatwa lini ?
Kwa vile kuna ushahidi wa kutosha wa uhalifu uliofanywa na DC duni wa zamani wa Hai aliyefahamika kwa jina la Ole Sabaya akishirikiana na OCD wa eneo hilo , sasa ni dhahiri atafunguliwa mashitaka ya Kutumia madaraka yake vibaya kwa kushiriki kupora pesa za raia kwa vitisho na kwa kutumia silaha za umma .
Je atakamatwa lini ?
Tuorodheshee happy tuhuma hizoKwa vile kuna ushahidi wa kutosha wa uhalifu uliofanywa na DC duni wa zamani wa Hai aliyefahamika kwa jina la Ole Sabaya akishirikiana na OCD wa eneo hilo , sasa ni dhahiri atafunguliwa mashitaka ya Kutumia madaraka yake vibaya kwa kushiriki kupora pesa za raia kwa vitisho na kwa kutumia silaha za umma .
Je atakamatwa lini ?
Tunaona anatujazia servers zetu za JF toka atumbuliwe Jana Kila dakika 5 Uzi, Mara magufuli anatukanwa, Mara ooh legacy, hii ID yake ya @nigastratatract iwe banned inaleta uchocheziKwa vile kuna ushahidi wa kutosha wa uhalifu uliofanywa na DC duni wa zamani wa Hai aliyefahamika kwa jina la Ole Sabaya akishirikiana na OCD wa eneo hilo , sasa ni dhahiri atafunguliwa mashitaka ya Kutumia madaraka yake vibaya kwa kushiriki kupora pesa za raia kwa vitisho na kwa kutumia silaha za umma .
Je atakamatwa lini ?