Je, Ole Sabaya kushitakiwa?

Mkuu, tangu barua ya utenguzi itoke, Sabaya atakuwa chini ya takukuru na tiss
 
DPP ajaye akichukua file na kuelekea Mahakamani yeye na Majaji watakaosikiliza hii kesi watakuwa watu muhimu sana kwenye siasa na utawala bora kwenye hii nchi.

Wana nafasi ya kuwaambia viongozi hasa vijana hii nchi ina sheria si ya kucheza nayo na hakuna aliye juu ya sheria. Watajenga presedence yakueleweka na kusaidia sana hii nchi
 
Ni heshima na SoMo zuri akifikishwa mbele ya mkono wa Sheria.
 
Presedence?
 
Hawezi kushitakiwa kwa video za kugushi , Ole sabaya aliyokuwa anayafanya yalikuwa na baraka za dikteta uchwara
 
 
Tuorodheshee happy tuhuma hizo
 
Tunaona anatujazia servers zetu za JF toka atumbuliwe Jana Kila dakika 5 Uzi, Mara magufuli anatukanwa, Mara ooh legacy, hii ID yake ya @nigastratatract iwe banned inaleta uchochezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…