Je, Ole Sabaya kushitakiwa?

Kwakweli ni wakati Sasa wa watanzania kuonyesha kuwa kiongozi anaweza kushtakiwa na kufungwa. Wenye ushahidi nendeni mahakamani tumpeleke mtu selo
 
Babuuuuuh huyoooh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kwa makosa yapi mbona hamuyasemi,au sababu ya kuukosa ubunge mwenyekiti wenu, mumekuwa na chuki sana na Sabaya,Chalamila na Hapi kisa ni vigogo wenu kuukosa ubunge kwa aibu, mnayemshangilia kwa kufanya maamuzi ya kuwaondoa hao hafanyi hivyo kwa ajili yenu ,yeye anayake ,msibweteke sana kuwa sasa ndio mnasikilizwa.
 
Mbona kama unaumia sana, au ulikuwa chawa wake?
 
Mungu wetu atamshitaki na kumhukumu
Tusimtegemee mwanadamu
Wanafanya uchunguzi eti (stori hakuna kitu hapo)
Tuzidi kumuita Mungu
Mungu atupe majibu juu ya watesi wote wanyang'anyi wauwaji walawiti wababe
Kuna Bia Swalo JeuriMuroo AliHapy yule mwingine ChalaMia hawa viumbe hapana kwa kweli
 
Idumu JF
 
Hatimaye imekuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…