KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Yule alie vunja vunja shamba la Mbowe ni nani Sabaya?Amehamishiwa Kilosa , ni Msukuma kwa kabila , jina lake Mpina
Vipi? Bado unaamini ulichowahi kukiandika?Mtasubiri sana sioni akishtakiwa watoto wa mjini wanasemaga imeisha hiyo
Imeisha hiyo ......Vipi? Bado unaamini ulichowahi kukiandika?
HahahahaaImeisha hiyo ......
wamemfunga jana wanakwenda kumtolea court of appeal......
kijana draft linachezwa hapo ww huwezi ona
Hata kama serikali isipomshtaki wananchi binafsi watamshtaki na kula naye sahani moja, mjinga alikuwa anajiona kama mungu mtu, kiongozi pekee kuzuiwa kuingia US, mpaka kafungiwa ujue US wana data zake za kutosha kwa ushenzi aliofanya, kaumiza wengi sana watu watakula naye tuuPaul Makonda alifanya ujambazi kama ilivyo ole Sabaya, ni kwa nini yeye hafikishwi mahakamani?
Akitoka urudi tena kuniuliza usisahauHahahahaa
SawaAkitoka urudi tena kuniuliza usisahau
Anaitwa Byakanwa alizawadiwa ukuu wa mkoa wa MtwaraYule alie vunja vunja shamba la Mbowe ni nani Sabaya?
Hawa watu huu haukuwa ulevi wa madaraka tu, bila shaka ni ugonjwa kichwani ndio uliowatuma kufanya mambo ya ajabu ajabu kiasi kile.
yametimia aisee!Mmh ni ngumu kiongozi kufungwa
Labda
yametimia aisee!
Kumbe wewe ndio Krav MagaKwa Makosa yake ya Kikatili Krav Maga ndiyo ningekuwa Rais nisingepoteza muda wangu Kuamuru ( kwa Kusaini haraka ) atangulizwe upesi Mavumbini Kinondoni ili Kufidia Machungu ya wale wote aliowaumiza.
Kwa kweli Magufuli alikuwa ni shetani katika umbo la binaadam!Anaitwa Byakanwa alizawadiwa ukuu wa mkoa wa Mtwara
Yaani kila alipokuwa analetwa mahakamani anavyocheka kwa dharau daaa
Hayawi hayawi
[emoji38][emoji38][emoji38]Yaani kila alipokuwa analetwa mahakamani anavyocheka kwa dharau daaa
Hayawi hayawi
[emoji38][emoji38][emoji38]