Je Oneplus 7t Pro 5g inasupport mitandao ya bongo?

Je Oneplus 7t Pro 5g inasupport mitandao ya bongo?

DUMEGUY

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
499
Reaction score
206
Habari za saizi,
Naitaji kujua Oneplus 7t pro 5g Mclaren edition inasapoti mitandao ya bongo?

Nimeuliza hili swali baada ya kuchukua simu unlocked from USA ilikua Tmobile .

Msaada

IMG-20220401-WA0011.jpg

IMG-20220401-WA0010.jpg

IMG-20220401-WA0009.jpg

IMG-20220401-WA0008.jpg

IMG-20220401-WA0007.jpg

IMG-20220401-WA0006.jpg
 
Nahisi itakuwa na bands zingne pia kama 3G na 4G.Unakuwa unachagua band ipi utumie
 
Ina bands zote za bongo mkuu.

Anza na ##4636## cheza cheza na setting tofauti kama 3g only, 4g only etc uone kama itapandisha mnara.

4g ni lte, 3G ni umts ama WCDMA, 2G ni Gsm etc.
 
Ina bands zote za bongo mkuu.

Anza na ##4636## cheza cheza na setting tofauti kama 3g only, 4g only etc uone kama itapandisha mnara.

4g ni lte, 3G ni umts ama WCDMA, 2G ni Gsm etc.
Nimejaribu vyote ila still haisaifii
IMG-20220401-WA0011.jpg
 
Back
Top Bottom