Manwambele
Senior Member
- Jan 4, 2016
- 110
- 172
Pashia tu kwani oven ni kama jiko la mkaa lenye moto juu na chini.Habari za wakati huu wana jamiiforums,ndugu yenu nisiwachoshe niende kwenye mada.
Swali langu Nauliza,Je Oven inaweza kutumika kupasha chakula?
N.B Ninatumia oven ya Ailyons sasa natumia kubake na kuchomea nyama mbuzi na kuku but sijajua bado naweza itumia pia kupashia chakula
Majibu wanandugu na ikiwezekana kama ntapata kujua na tofauti kati ya oven na microwave?
Sent using Jamii Forums mobile app
Imefungiwa ndani haina madhara!Hivi hii Kitu mionzi yake kweli Ina madhara au Ni story tu?
Kuna mtu flani alikua anaishi huko kijiji Maisha yake yote,akapataga Kansa ya utumbo Sasa Dr. akawa anaelezea sababu za Hilo tatizo, katikati ya maongezi akasema kuweni Makini Sana na hizi microwave(nilistaajabu maana huyo mgonjwa mwenyewe hata microwave sijui hata Kama alikua anaijua Ni Nini).Imefungiwa ndani haina madhara!
Kuna mtu flani alikua anaishi huko kijiji Maisha yake yote,akapataga Kansa ya utumbo Sasa Dr. akawa anaelezea sababu za Hilo tatizo, katikati ya maongezi akasema kuweni Makini Sana na hizi microwave(nilistaajabu maana huyo mgonjwa mwenyewe hata microwave sijui hata Kama alikua anaijua Ni Nini).
Huyo doctor ni jauKuna mtu flani alikua anaishi huko kijiji Maisha yake yote,akapataga Kansa ya utumbo Sasa Dr. akawa anaelezea sababu za Hilo tatizo, katikati ya maongezi akasema kuweni Makini Sana na hizi microwave(nilistaajabu maana huyo mgonjwa mwenyewe hata microwave sijui hata Kama alikua anaijua Ni Nini).
Hivi kwa nini oven za gesi ni adimu sana, kama vile hazipo, sijaWahi kuona jiko la oven ndogo ya gas yenye plate mbili za gas za kupikia madukani. kwa nini?Hapo kwenye nyama choma aisee hawa tanesco walizingua kinoma juzi, nyama ipo kwenye oven imefika katikati umeme si ukakatika aisee...!
Acha kabisa ndugu.
Ngoja tumuulize huyu jamaa Amani mfaume atusaidie hili swali.Hivi kwa nini oven za gesi ni adimu sana, kama vile hazipo, sijaWahi kuona jiko la oven ndogo ya gas yenye plate mbili za gas za kupikia madukani. kwa nini?
Hapo kwny temperature ni pakudailia jotoNaomba maelekezo namna ya kutumia hili oven nmeletewa sasa sijui jinsi ya kubalance moto wa juu na moto wa chini. Kampuni Kenwood. User manual haijaelezea kitu
AsanteHapo kwny temperature ni pakudailia joto
Alafu kuna sehem ya kuwasha oven na kuset muda wako wakati wa kubak
zipo microwave oven unaweza kupashia lakini oven ya kawaida usitumie kupashia,ni uharibifu wa umemeHabari za wakati huu wana jamiiforums,ndugu yenu nisiwachoshe niende kwenye mada.
Swali langu Nauliza,Je Oven inaweza kutumika kupasha chakula?
N.B Ninatumia oven ya Ailyons sasa natumia kubake na kuchomea nyama mbuzi na kuku but sijajua bado naweza itumia pia kupashia chakula
Majibu wanandugu na ikiwezekana kama ntapata kujua na tofauti kati ya oven na microwave?
Sent using Jamii Forums mobile app
endelea kutafuta utapataHivi kwa nini oven za gesi ni adimu sana, kama vile hazipo, sijaWahi kuona jiko la oven ndogo ya gas yenye plate mbili za gas za kupikia madukani. kwa nini?