Je, Oven inaweza kutumika kupasha chakula?

Manwambele

Senior Member
Joined
Jan 4, 2016
Posts
110
Reaction score
172
Habari za wakati huu wana jamiiforums,ndugu yenu nisiwachoshe niende kwenye mada.

Swali langu Nauliza,Je Oven inaweza kutumika kupasha chakula?

N.B Ninatumia oven ya Ailyons sasa natumia kubake na kuchomea nyama mbuzi na kuku but sijajua bado naweza itumia pia kupashia chakula

Majibu wanandugu na ikiwezekana kama ntapata kujua na tofauti kati ya oven na microwave?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. lipia tangazo
2. tumia microwave kupasha,
microwave inapasha toka ndani ya 'stuff' kurudi nje,
oven ya kawaida ni kwa ajili hasa ya baking na broiling
 
Habari za wakati huu wana jamiiforums,ndugu yenu nisiwachoshe niende kwenye mada.

Swali langu Nauliza,Je Oven inaweza kutumika kupasha chakula?

N.B Ninatumia oven ya Ailyons sasa natumia kubake na kuchomea nyama mbuzi na kuku but sijajua bado naweza itumia pia kupashia chakula

Majibu wanandugu na ikiwezekana kama ntapata kujua na tofauti kati ya oven na microwave?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pashia tu kwani oven ni kama jiko la mkaa lenye moto juu na chini.
 
Imefungiwa ndani haina madhara!
Kuna mtu flani alikua anaishi huko kijiji Maisha yake yote,akapataga Kansa ya utumbo Sasa Dr. akawa anaelezea sababu za Hilo tatizo, katikati ya maongezi akasema kuweni Makini Sana na hizi microwave(nilistaajabu maana huyo mgonjwa mwenyewe hata microwave sijui hata Kama alikua anaijua Ni Nini).
 
[emoji15]
 
Huyo doctor ni jau
 
microwave imetengemezwa special kwaajili ya kupasha tu inamechanism inayofanya chakula kupata moto kwa mda mfupi sana
oven hii ni kwaajili ya kupikia/kuchoma/kuoka ingawa kupasha unaweza pia ila kwakutumia chombo cha bati/chuma ingawa itachukua mda kidogo tofauti na microwave
 
Naomba maelekezo namna ya kutumia hili oven nmeletewa sasa sijui jinsi ya kubalance moto wa juu na moto wa chini. Kampuni Kenwood. User manual haijaelezea kitu
 
Attachments

  • IMG_4495.jpeg
    IMG_4495.jpeg
    1.5 MB · Views: 33
Hapo kwenye nyama choma aisee hawa tanesco walizingua kinoma juzi, nyama ipo kwenye oven imefika katikati umeme si ukakatika aisee...!

Acha kabisa ndugu.
Hivi kwa nini oven za gesi ni adimu sana, kama vile hazipo, sijaWahi kuona jiko la oven ndogo ya gas yenye plate mbili za gas za kupikia madukani. kwa nini?
 
Naomba maelekezo namna ya kutumia hili oven nmeletewa sasa sijui jinsi ya kubalance moto wa juu na moto wa chini. Kampuni Kenwood. User manual haijaelezea kitu
Hapo kwny temperature ni pakudailia joto
Alafu kuna sehem ya kuwasha oven na kuset muda wako wakati wa kubak
 
Habari za wakati huu wana jamiiforums,ndugu yenu nisiwachoshe niende kwenye mada.

Swali langu Nauliza,Je Oven inaweza kutumika kupasha chakula?

N.B Ninatumia oven ya Ailyons sasa natumia kubake na kuchomea nyama mbuzi na kuku but sijajua bado naweza itumia pia kupashia chakula

Majibu wanandugu na ikiwezekana kama ntapata kujua na tofauti kati ya oven na microwave?

Sent using Jamii Forums mobile app
zipo microwave oven unaweza kupashia lakini oven ya kawaida usitumie kupashia,ni uharibifu wa umeme
 
Back
Top Bottom