Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Wakuu, nimekuwa najiuliza kuwa hapa kwetu pana msemaji wa klabu ya mpira mwanamke?
Pana mtu mmoja huwa namsikia kwenye vipindi vya michezo sio mara kwa mara sauti ni kama ya mwanamama hivi ila klabu siifahamu. Kama si mwanamke, je vilabu vyetu havihitaji kuwa na msemaji mwanamama hasa ikizingatiwa pana waandishi/watangazaji wa habari za michezo wengi?