Je Papa anakufuru?

Mbona huyo papa kaonyesha ishara ya waabudu shetani hiyo ya vidole kama pembe?
 
Kila mtu anaruhusiwa kuamini kulingana na imani yake ili hali asimkwaze mwenzake au kuvunja sheria za nchi. Acheni kutengeneza makundi ya kumuona mwenzio sio na wewe ndiye, acheni kugawanyika kwa misingi ya dini zetu. Siri ya dini ya kweli unaijua mungu. Mwenyezi mungu awabariki wanaJF
 
Nijuavyo mm Quraan ni kitabu chenye muuongozo sahihi wa maisha ya mwanaadam.
Na ukweli utabaki ivo ivo.hicho ndo kitabu sahihi kimegusa maisha yote.hapana shaka ndani yake.so vitabu vingne vinabafilishwa na mwanadamu unasema eti vinautukufu upi huo?
 
Wasabato mtashindana na wala hamtashinda, jiulizeni ni miaka mingapi leo toka mmeanza kulipiga vita Kanisa katoliki badala ya kuihubiri Injili, Kanisa limekuwa kiasi gani toka vita yenu ianze, the Church is growing from strength to strength. Hubiri Injili, mtangaze Mungu wako watu wamjue, achana na Kanisa Katoliki unapoteza muda wako tu
 
Mkuu ni ya kweli hayo ama? Mbona ni hatari aseee
 
Wewe uliyeandika hapa ni. Mpiga debe wa stendi,sidhani kama unasoma hata biblia,bishana kwa maandiko.
 
Wewe uliyeandika hapa ni. Mpiga debe wa stendi,sidhani kama unasoma hata biblia,bishana kwa maandiko.
Nimemaliza kusoma Pambano Kuu sasa namalizia hii paper ya Kisayansi (caption below) halafu nihamie kwenye Dhiki Kuu. Sina ugomvi na Wasabato ila maswali yangu ya "kipiga debe wa stendi" hapo juu bado yako valid. Jitahidini mbalance kidogo mnapomshambulia Papa penyezeni na mafundisho yenu ili watu wajue nguzo za imani yenu. Sasa mtawaokoaje Wakatoliki (na wengineo wote) kama mnachofanya ni kuwashambulia tu bila kuwaonyesha maana hasa ya Usabato ni nini mbali na kuabudu Jumamosi na kutokula samaki wenye magamba na wanyama wasio na kwato na wasiocheua?

Kuna kipindi Waislamu walikuwa na tabia ya kuendesha mihadhara ya kushambulia Wakristo. Nao pia waliombwa, tena kwa ustaarabu kabisa kama ninavyofanya hapa, kuhubiri pia misingi ya imani yao ili watu wapate ufahamu na hatimaye kama watavutiwa wahamie huko.

Tukutane stendi ukanisaidie kupiga debe ewe Mtakatifu sana wa Kisabato [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ataponda yeye na wajukuu wa wajukuu zake lkn ukatoliki utaendelea kudunda tu
Ukatoliki ni kweli utadumu hadi mwisho wa dunia (kiama), lakini itakufaa nini wewe ambaye nafsi yako itakuwa imepotezwa na mafundisho potofu ya ukatoliki? Yaani unaipigania dini kwa gharama ya nafsi yako, horrendous!
 
Sidhani kama kuna mtu ambaye anaridhikaga na ukuu wa papa. Yaan ni ile kupelekwapelekwa tu ila kila mtu anahofu na mamlaka ya papa. Kuna wakatoliki wanaumiaga sana zinaposemwa hiz habari ila wanashindwaga kukubaali maana hawapo kwenye dini bali wamegeuza ukatoliki ukama chama cha siasa au timu ya mchezo namaanisha wana majibut ya Kushabikia ukatoliki sio majbu ya kiumini kabisa. Sishangai ila naumia pale nionapo mtu muelewa hataki kuelewa Naumia ila acha iwe hivo maana kila mtu alizaliwa na kulia kwa muda wake.


[HASHTAG]#YAMETABIRIWA[/HASHTAG] YOTE. ACHA UNABII UTIMIE
 
Kama nimekulewa vizuri ni kwamba wewe una mama tu na hauna baba.

Sabato masalia ni afadhali hata ya kichaa.
 
Fact kabisa . binadamu ka Mimi anakuaje mtakatifu..afu watu utasikia una..kufuru kumsema papa vibaya wakat fact za biblia zinaonekana..afu huu ushabiki wa dini unatufanya tushindwe hata kufuata biblia inavosema..ni mawazo tu MUNGU anajua mwenyewe mana sisi binadam hatujakamilika kwa kila kitu
 
Ukatoliki ni kweli utadumu hadi mwisho wa dunia (kiama), lakini itakufaa nini wewe ambaye nafsi yako itakuwa imepotezwa na mafundisho potofu ya ukatoliki? Yaani unaipigania dini kwa gharama ya nafsi yako, horrendous!

Kwani wewe unapigania nini? Watu bhana! Nani kapotea? Ukristo kweli umekua bangi!
 

Mbona povu jingi? Kwa taarifa yako kwa msabato hata wewe umepotea kwa kusali jumapili ambayo wanasema ndo mamlaka ya papa! Kwa hiyo unakunywa mvinyo wa ghadhabu ya Mungu. Kama hujui kinachoendelea kaa kimya. Unatuambia umeokoka ili tufanyeje? Mediocrity!
 
Kwa ushauri tumsikilize kwani hakuna aliye jua kila jambo sikuzote ukitaka kujua mada usianze kupaniki mtoa mada yupo sahihi ni jambo labusara akijibiwa hoja mm nimkatoliki ila mengi yanayosemwa ni ukweli ila kuenda kulizungumzia nikujitakia matatizo
 
Nitawatumuia picha ya kitabu ukakisome utaelewa
 
Mkuu Blood of Jesus. Kulingana na Wasabato hata wewe huna unafuu na wewe na Wakatoliki wote ni majiganyanza. As long as unaabudu siku ya Jumapili - siku ya Kipagani ya kuabudu mungu jua wa Babylon, badala ya Jumamosi kama ilivyoagizwa katika amri ya nne basi hata wewe uko chini ya yule kahaba mkuu wa Ufunuo (Papa). In short, kulingana na Wasabato, mtu yeyote asiyesali Jumamosi anavunja amri ya Mungu na hatauona ufalme wa Mungu. Kwa hiyo ukisema kuwa eti umeokoka huku unasali siku ya Jumapili Wasabato hawatakuelewa!
 
Kitabu cha Daniel na Ufunuo... Vimeeleza Habari ya Pembe Ndogo iliyochipuka katkati ya Pembe Zingine ila Ikawa na Nguvu Zaidi ya Zingine... "Pembe ni Ufalme " Hilo Kanisa au Ufalme Umeilewesha Dunia Kwa Mvinyo wa mafundisho yake na Hakuna Taifa lenye uwezo juu ya Vatican tazameni wakuu wote wa Nchi Duniani wanapokutana na huyo Kiongozi wa Serikali au Ufalme wa Vatican wote HUMWINAMIA MKUU WAO KIDUNIA... Tazameni Viongozi wote wa KIDINI DUNIANI wote... "KASORO WALOKOLE TU"...Wanapokutana na Huyo PP wanamwinamia Huyo ndio Agent Mkuu wa Mpinga Kristo THE ANTICHRIST...Shetani Ametuletea Balaaaaa ila... THEY CAN RULE BUT THEY CAN'T TAKE OVER... Watu Wote ni Mali Ya Mungu Muumba Mbingu na Nchi... Hakuna Kitu Cha Thamani Zaidi Kama MOYO wako LINDA MOYO WAKO KULIKO VYOTE UVILINDAVYO... AMEN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…