Je Papa anakufuru?

Je Papa anakufuru?

catholics wanawafanya watu kuwa wakristu but makanisa mengine wana kazi ya kuwafanya wakristu kuwa wakristu.Hamtaweza kuieneza injil kwa uwezo wenu huu wa kufikir bcz mnatumia mda mwing kuipinga ukatoliki kuliko kuipinga uislam na upagan.
very poor analysis.nenda kwa wazungu ukawaulize kama dunian kuna mkatolik anaitwa holy father(baba mtakatifu) hapa dunian.
kwa cc wakotolik BABA WA MBINGUNI YU MMOJA BUT BABA WA DUNIAN WAPO WENG.
BABA WA MBINGUNI NI CHEO BUT KUITWA BABA DUNIAN C CHEO BUT NI MAJUKUMU.
punguzen kumkarir mungu jaman mnatakiwa kuielewa bible na c kuikarir.
Baba wa kiroho jukumu lake ni kumlea mwanadam katika jins ambayo itamfanya arud mbingun.Mungu hawez kumpinga baba wa kiroho but anambariki kutokana na kazi njema anayoifanya.
JINA NI NENO TU,UNLESS YU ATTACH A MEANING IN IT.NEXT TIME UKILETA JINA ULETE NA MAANA YAKE.
Kazi njema kama ipi?
 
Quran ni kitabu cha shetan alichompa jamaa mmoja anaitwa muddy miaka ya 600s
Unanufaika nini ukitukana Quraan? kila sura katika Quran lazma kabla ya kuisoma unaanza kwa kusema. AUDHUBILAAH MINA SHEITAAIN RAJIIM

MAANA yake najikinga na shetani ama kumlaani shetani.

Swali langu je kitabu cha shetani kitaanza kwa kumlaani shetani?

Pili naomba ushahidi kwamba ni kitabu cha shetani?

Tatizo kubwa ulilonalo ni chuki kubwa katiko moyo wako. na chuki ni katika mambo ya kishetani. Sasa ndugu moe naona wewe ndio unaongozwa na shetani.
 
Kukufuru ni kujiweka ktk nafasi ya Mungu ingawa wewe ni mwanadamu Yohana 10:33 Wayahudi wakamjibu, kwa ajiri ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe ulie mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu. ---->hiyo ndo maana ya kukufuru. Kudai kuwa sawa na Mungu.
==>Isaya 14:13,14 Shetani alitamani kupaa juu kupita nyota za mbinguni ili afanane na Mungu, yaani akakae ktk nafasi ya Mungu.
==>Mwanzo Mwanzo 3:5 Shetani aliuingiza ulimwengu dhambini kwa kosa la kufuru yaani alimshawishi Eva akaidi agizo la Mungu amwahidi kuwa "atakuwa kama Mungu"-->hii ni kufuru!
WAKATOLIKI wana mwanadamu waliempa jina lenye wadhifa na wasifu wa Mungu peke yake, yaani " Baba Mtakatifu" Soma: Yohana 17:11Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba Mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.
Umeona hiyo aya inavobainisha kuwa "Baba Mtakatifu" ni jina la Mungu? Lakini Wakatoliki wana babao mtakatifu mwingine!!!!!? KUFURU!.

Mathayo 23:9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. 10. Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo.
a1c24a7039696fc400f2495b14f81a4b.jpg

Ndugu zangu aya hii ya 9, Mungu kakataa kuwa na ubia ktk jina lake la mamlaka linalobeba wadhifa wake. Kumwita mtu baba Mtakatifu na kiongozi mkuu wa dini ni KUFURU.
Mwenye masikio na asikie ambayo roho awaambia Wakatoliki. Mimi ni mjumbe tu kuwakumbusha yaliyokwisha bainishwa
6c9ad4bf3f1a83fb90dfe2d0b6c7f9d9.jpg
Kuna watu wana roho mbaya..........by Mkude Simba.....
 
Here we go again. Seventh Adventists (Wasabato) at work. Yaani bila Papa na ukatoliki hamna dini. Hata hiyo misingi ya dini yenu huwa mnaihubiri saa ngapi kama kazi yenu kuu ni kupambana na Papa na ukatoliki 24/7? Nyinyi mnaamini nini? Wokovu unapatikanaje? Kwa kusoma na kufuata mafundisho ya Bibi Ellen G. White? Kwa kutokula samaki wenye magamba, wanyama wasio na kwato zilizogawanyika na wale wasiocheua? Ni kwa kuabudu Jumamosi? Ni kwa kutokunywa chai, kahawa na soft drinks? Ni kwa kukurupuka na kuwa na kiherehere cha kuhusisha kila tukio na unabii wa vitabu vya Daniel na Ufunuo? Usabato ni nini? Mtu atakwenda mbinguni kwa sababu ni Msabato?

Inawezekana kweli Papa ni ajenti wa shetani lakini je, hili linawasaidiaje nyinyi kama Wasabato? Mbona mko so obsessed na Papa na Wakatoliki? Dini na madhehebu mengine yote yako sawa isipokuwa Wakatoliki? Au mna bifu la kihistoria na Papa na ukatoliki?

Samahani kwa maswali mengi na natumaini kwamba hutatoa povu na badala yake utajaribu kutuelimisha kuhusu kikundi hiki cha kifarisayo (washika sheria za Musa) kiitwacho Seventh Adventists. Ajabu ni kwamba kikundi hiki kina mauzauza mengi yasiyofungamana na mafundisho ya Biblia na badala ya kukazania kuondoa kwanza mabolti katika macho ya wafuasi wake kimekazania mabolti ya Wakatoliki.

Anyway, Happy New Year mkuu (kama mnaamini/mnasherehekea mwaka mpya)!
Kama sijakosea umesema wasabato wana mauzauza mengi yanayopingana na biblia.sasa nataka uorodheshe matatu tu yanayopingana na biblia then weka matatu ya kikatoliki yanayoendana na biblia ikiwemo siku yenu ya kuabudu,au hta ukiacha la siku ya kuabudu maana litakutoa jasho.
 
Mauzauza kweli ni mengi mkuu. Ngoja nikutajie machache.

(1) m2mixh

(2) m2mish

(4) mtumish

(5) mtumishi...[emoji23][emoji23][emoji23]

Bila shaka wewe ni denti. Mtu mzima hawezi kutumia huu uandishi wa ki-facebook...

Anyway, binafsi sina ugomvi na dhehebu lolote ila huwa sipendi hii tabia ya kujivika utakatifu wa bandia na kuanza kushambulia madhehebu mengine. Tukumbuke tu kuwa dhehebu lako halitakuokoa....Wasabato:

(1) Historia yenu imejaa mauzauza na hii tabia ya kutabiri tabiri kurudi kwa Yesu na mambo mengine haijakoma. Soma historia ya kanisa lako utaelewa nasema nini. Sensationalism! Kila kitu ni life shattering event. Upepo ukivuma ooooh tayari unabii wa vitabu vya Ufunuo na Daniel umetimia. Papa akivaa kofia mpya oooh tayari kahaba wa Ufunuo anajiandaa kuinyakua dunia. Gosh!!!

(2) Pick and choose kutoka sheria za Musa. Kwa nini sheria za nyama tu na vyakula? Kama kweli mmeamua si mshike sheria zote za Mafarisayo? (Inasemekana zipo zaidi ya 10,000 !!!). Sheria hizi za kale zina nafasi gani katika wokovu? Kuna mtu atakosa kwenda mbinguni kisa alikula samaki asiye na magamba au mnyama asiye na kwato au asiyecheua? Na kwa nini mnadhani kwa kushika sheria hizi basi nyie ni watakatifu kuliko wengine?

(3) Ellen G White. Kweli ni nabii? Kwa nini maandishi yake na miongozo yake na hasa tafsiri zake za Biblia zina uzito mkubwa kanisani? Huyu mama ni controversial na kuna watu wengi (wakiwemo psychiatrists) wanaodhani kuwa alikuwa mgonjwa wa akili aliyekuwa akipata hallucinations kali. Alipata ajali ya kuanguka alipokuwa na miaka 13 na kupata permanent brain damage! Kuweni macho isije ikawa mnafuata maandiko ya "kichaa"!

Angalizo: Sifa mojawapo kuu ya cults ni hii: Mbali na Biblia kunakuwa na nyongeza ya mafundisho ya "nabii" anayekubaliwa na kanisa. Mara nyingi maandiko ya "nabii" huyu ama hufafanua Biblia zaidi (mf. Ellen G. White wa Wasabato), huongezea vitabu vingine mbali na Biblia (mf. Joseph Smith wa Mormonism aliyekuja na Kitabu cha Mormon ambacho kinatambuliwa na wafuasi wake kuwa ndiyo maandiko matakatifu zaidi kuwahi kufunuliwa kwa binadamu). Cults zingine (mf. Jehova's Witness) hutumia Biblia ambazo zimechakachuliwa na waumini wake huwa hawaruhusiwi kusoma matoleo mengine ya Biblia.

(4) Eti Yesu aliingia Patakatifu pa Patakatifu kuanzia mwaka 1884 ili kuanza kutuombea rasmi. Mlijuaje? Huyo mwanzilishi wenu Miller alifika huko mbinguni na kumuona Yesu Akihama huo mwaka 1884? Na kama Yesu bado Anaendelea kutupigania huko mbinguni ina maana damu yake pale Msalabani haikutosha? Ina maana Alikuwa muongo Alipolia kuwa "IMEKWISHA" pale msalabani?

(5) Investigative Judgement iliyoanza mwaka 1884 ni nini? Ina misingi gani katika Biblia?

Wataalamu wa Cults wanawatambua Seventh day Adventists kama aina mojawapo ya cults za Kikristo japo siku zinavyozidi kwenda cult hii inazidi kubadilika badilika na kufuata misingi ya Biblia. Kwa hili kidogo inajipambanua na kuwaacha wenzake Mormons, Jehova's Witness na wengineo.

Kuhusu Wakatoliki nadhani mambo yao ni self explanatory na hayahitaji kutetewa. Watakuja wajitetee wenyewe.

==> Tupiganie wokovu wetu mmoja mmoja na kujibidisha sana kuwa karibu na Mungu wetu huku tukitambua kuwa tunaokolewa na neema Yake na si kwa matendo yetu pekee. Kufumba macho na kudhani kuwa mbingu tutaiona kwa kuwa tu wafuasi wa dhehebu hili au lile pekee ni kujidanganya. Mungu Akusaidie uuone ukweli huu!
 
Kukufuru ni kujiweka ktk nafasi ya Mungu ingawa wewe ni mwanadamu Yohana 10:33 Wayahudi wakamjibu, kwa ajiri ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe ulie mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu. ---->hiyo ndo maana ya kukufuru. Kudai kuwa sawa na Mungu.
==>Isaya 14:13,14 Shetani alitamani kupaa juu kupita nyota za mbinguni ili afanane na Mungu, yaani akakae ktk nafasi ya Mungu.
==>Mwanzo Mwanzo 3:5 Shetani aliuingiza ulimwengu dhambini kwa kosa la kufuru yaani alimshawishi Eva akaidi agizo la Mungu amwahidi kuwa "atakuwa kama Mungu"-->hii ni kufuru!
WAKATOLIKI wana mwanadamu waliempa jina lenye wadhifa na wasifu wa Mungu peke yake, yaani " Baba Mtakatifu" Soma: Yohana 17:11Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba Mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.
Umeona hiyo aya inavobainisha kuwa "Baba Mtakatifu" ni jina la Mungu? Lakini Wakatoliki wana babao mtakatifu mwingine!!!!!? KUFURU!.

Mathayo 23:9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. 10. Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo.
a1c24a7039696fc400f2495b14f81a4b.jpg

Ndugu zangu aya hii ya 9, Mungu kakataa kuwa na ubia ktk jina lake la mamlaka linalobeba wadhifa wake. Kumwita mtu baba Mtakatifu na kiongozi mkuu wa dini ni KUFURU.
Mwenye masikio na asikie ambayo roho awaambia Wakatoliki. Mimi ni mjumbe tu kuwakumbusha yaliyokwisha bainishwa
6c9ad4bf3f1a83fb90dfe2d0b6c7f9d9.jpg
Babako unamwitaje, acha umbumbu ndio maana mlienda airport kusafiri kutumia biblia.
 
Ujinga wako unaedit picha.
 
Msabato hana hoja yoyote ya kibiblia juu ya papa zaidi ya kukalili maandiko tu kijimstari kimoja anaandika uzi.
Kwa kifupi papa ni wakili wa Mungu kwa niaba ya Mt Petro mtume wa Yesu. Mathayo 16:18.
Wewe ndiye petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu ambalo hata milango ya kuzimu haitalishinda.
Kuhusu Papa kuitwa baba. Imeandikwa Mungu anapendezwa na watakatifu waliopo duniani.

Vizuri muwe na hoja zisizojibika kwa biblia maana Neno la Mungu usipolielewa utalipotosha naye anasema ole wake atakayebadilisha chochote. Mbingu na vyote vitapita ila haitaondoka hata yodi moja ya neno la Mungu sasa jiulize nani mpotoshaji Mkatoriki mwenye biblia yenye vitabu zaidi ya sabini? Au anayevipunguza mpaka vimefika sitini na kitu.
 
Povuuuuuuuu

Ukweli unabaki uislamu ni zao la katoliki

Hauon hata sanamu jiwe jeusi mnaliabudu, wenzenu wana rozali ninyi mna tasbihi hirizi
sisi tuna tasbihi nyinyi je au ndo mnaazimisha ya sodoma na gomora hahaha,nasubir ndoa yako mkuu ya kuolewa na dume jenzako
 
Haya ni mambo ya kiroho na ni unafiki kukaa umekazania makosa ya wengine kumbe hata unachopigania hukiishi. Ndiyo maana huwa nawadharau sana (na kuwaombea) wachungaji wanafiki wasiofuata yale wayahubiriyo. By the way hii ni ID nyingine ya huyo denti mleta mada?
356e3ef777ade253e379ed5903b0f908.jpg
01acba88b2efc36ff03c00aca958eebb.jpg

Unalijua hili jukwaa la wakubwa analoliulizia? [emoji121][emoji121]. Tuacheni unafiki jamani na tukazanieni wokovu vinginevyo tutaangamia na madhehebu haya hayatatusaidia!
Duh...yaani huyu mshika Sabato, Siku ya Saba, Jumamosi.
Mtumishi mtakatifu sana wa Kanisa Takatifu, SDA ndio anaandika mambo kama hayo tena...!
Huyu anayetuonesha kila siku maboriti ya Wakatoriki na Papa...!
Huyu Askofu mtiifu wa Nabii Elleni G. White...!
Hakika nimestajabu sana.
 
Back
Top Bottom