Je, PC yako inaweza kuambukizwa virus kwa kuchomeka USB?

its MalekoGJ

Senior Member
Joined
Aug 27, 2020
Posts
136
Reaction score
292
JE, PC YAKO INAWEZA KUAMBUKIZWA VIRUS KWA KUCHOMEKA USB?

“Free USB = Free Headache.”

Katika ulimwengu wa leo wa teknolojia, USB ports zimekuwa kama milango ya mtaa wa Kariakoo – kila mtu anaingia. Unachomeka keyboard, flash, mouse, au hata charger ya simu. Ni rahisi sana... lakini je, ni salama?

1. USB SIYO KILA MARA NI RAFIKI

USB devices – kama flash drives – ni moja ya njia maarufu zaidi za kusambaza malware.

Kwa nini?

Ni ndogo na rahisi kubeba

Watu huziamini bila kuchunguza

Huwa haziitishi “installation” – zinafunguka tu

Zinatumika kila mahali: shule, ofisini, sokoni

Na sio flash pekee inayoweza kuambukiza virusi. Digital picture frames, keyboards za kisasa, wireless USB dongles — zote zimeripotiwa kuwa na malware iliyojengwa ndani, hata kabla ya kuuzwa! (Chanzo: CISA – Cybersecurity and Infrastructure Security Agency, Marekani)

2. AINA ZA MASHAMBULIZI KUPITIA USB

Wachache wanafahamu kuwa USB ni zaidi ya kuhifadhi data. Kuna vifaa ambavyo vinaweza:

Kujifunga kama keyboard – vinaandika commands haraka bila ruhusa yako (Hii huitwa BadUSB attack)

Kuinstall ransomware – vinakufungia PC na kutaka “ransom” ili upate access

Kuiba data zako kwa sekunde chache

Kuchoma motherboard yako – kupitia USB Kill sticks zinazotoa voltage ya juu ya umeme kwa ghafla

Kusambaza virusi kwenye network nzima (Ikiwa PC iko kwenye mtandao)

3. WATU GANI HUSHAMBULIWA?
Huenda ukafikiri mashambulizi haya ni kwa ajili ya serikali au taasisi kubwa. Lakini ukweli ni kwamba:

Baadhi ya watu hupokea flash kwa barua

Wengine hupewa “zawadi” ya USB kwenye semina

Wengine hukuta flash mtaani na wanaiokota kwa furaha

Wengine hununua flash za bei rahisi bila kujua zilitengenezwa na mahackers

Ukishachomeka – game over.

4. JINSI YA KUJILINDA

Kumbuka: USB attack haiwezi kufanyika bila mtu kuchomeka kifaa chenye virusi. Hivyo kinga ya kwanza ni utaratibu mzuri wa tabia.
👉 Tumia antivirus yenye nguvu na fanya updates mara kwa mara
👉 Zima AutoRun kwenye Windows:
Control Panel > AutoPlay > Uncheck "Use AutoPlay for all media and devices" > Save.
👉Tumia Windows kwa kazi zako za ofisini, halafu Linux kwa coding au ethical hacking.
👉 Run software specific – Game zako za Windows + development tools za Linux.
👉 Avoid Virtual Machines ambazo huchukua resources nyingi na hufanya PC kuwa slow.
👉Kama system moja imeharibika, unaweza recover data kupitia system nyingine.

👉Run software specific – Game zako za Windows + development tools za Linux.
👉 Avoid Virtual Machines ambazo huchukua resources
👉 Tumia Windows kwa kazi zako za ofisini, halafu Linux kwa coding au ethical hacking.

👉 Kama system moja imeharibika, unaweza recover data kupitia system nyingine.

👉 Kama system moja imeharibika, unaweza recover data kupitia system nyingine.Tumia Windows kwa kazi zako za ofisini, halafu Linux kwa coding au ethical hacking.

👉Kama system moja imeharibika, unaweza recover data kupitia system nyingine.Run software specific – Game zako za Windows + development tools za Linux.

👉 Kama system moja imeharibika, unaweza recover data kupitia system nyingine.Kama system moja imeharibika, unaweza recover data kupitia system nyiine.Usichomeke USB usiyoijua – hata kama inaonekana mpya
👉Kama system moja imeharibika, unaweza recover data kupitia system nyingine. Tumia virtual machine (kama VirtualBox) ukitaka kuangalia kilichomo kwenye flash isiyoaminika
👉Tumia PC isiyounganishwa na internet (air-gapped)
👉Acha tamaa ya “Zawadi za bure” ambazo hujui zilitoka wapi

USB NI MLANGO NA WAHALIFU WANAIJUA

Kama unajali data zako, password zako, na future ya kazi zako – usichukulie kawaida Flash Drive. Inaweza kuonekana kama kifaa kidogo, lakini ndani yake kuna virusi vinavyoweza kuharibu maisha yako ya kidigitali.

WAZEE UNATAFUTA LAPTOP AU DESKTOP YA KISASA AU ATA REFURBISHED?

Tuna Laptop za aina zote zenye Intel, Nvidia na AMD graphics – mpya na zilizotumika, pamoja na vifaa vyake kama RAM, SSD, Chaja, na zaidi.

📍 Tembelea duka letu Aggrey Street – Ndanda Arcade
📞 Piga/SMS/WhatsApp: 0675 031 229
📦 Tunatuma mikoani kwa uaminifu wa hali ya juu!

👉 Nunua Laptop – Pata Kitu Bure!
(Keyboard au Mouse ya kisasa kwa kila ununuzi.)
 
4. JINSI YA KUJILINDA

Kumbuka: USB attack haiwezi kufanyika bila mtu kuchomeka kifaa chenye virusi. Hivyo kinga ya kwanza ni utaratibu mzuri wa tabia.
👉 Tumia antivirus yenye nguvu na fanya updates mara kwa mara
👉 Zima AutoRun kwenye Windows:
Control Panel > AutoPlay > Uncheck "Use AutoPlay for all media and devices" > Save.
👉Tumia Windows kwa kazi zako za ofisini, halafu Linux kwa coding au ethical hacking.
👉 Run software specific – Game zako za Windows + development tools za Linux.
👉 Avoid Virtual Machines ambazo huchukua resources nyingi na hufanya PC kuwa slow.
👉Kama system moja imeharibika, unaweza recover data kupitia system nyingine.
👉Tumia Windows kwa kazi zako za ofisini, halafu Linux kwa coding au ethical hacking.
👉Run software specific – Game zako za Windows + development tools za Linux.
👉 Avoid Virtual Machines ambazo huchukua resources
👉 Tumia Windows kwa kazi zako za ofisini, halafu Linux kwa coding au ethical hacking.
👉Run software specific – Game zako za Windows + development tools za Linux.
👉 Avoid Virtual Machines ambazo huchukua resources nyingi na hufanya PC kuwa slow.
👉 Kama system moja imeharibika, unaweza recover data kupitia system nyingine.
👉 Tumia Windows kwa kazi zako za ofisini, halafu Linux kwa coding au ethical hacking.
👉 Tumia Windows kwa kazi zako za ofisini, halafu Linux kwa coding au ethical hacking.
👉 Run software specific – Game zako za Windows + development tools za Linux.
👉 Avoid Virtual Machines ambazo huchukua resources nyingi na hufanya PC kuwa slow.
👉 Kama system moja imeharibika, unaweza recover data kupitia system nyingine.Tumia Windows kwa kazi zako za ofisini, halafu Linux kwa coding au ethical hacking.
👉 Run software specific – Game zako za Windows + development tools za Linux.
👉 Avoid Virtual Machines ambazo huchukua resources nyingi na hufanya PC kuwa slow.
👉Kama system moja imeharibika, unaweza recover data kupitia system nyingine.Run software specific – Game zako za Windows + development tools za Linux.
👉 Avoid Virtual Machines ambazo huchukua resources nyingi na hufanya PC kuwa slow.
👉 Kama system moja imeharibika, unaweza recover data kupitia system nyingine.Kama system moja imeharibika, unaweza recover data kupitia system nyiine.Usichomeke USB usiyoijua – hata kama inaonekana mpya
👉Kama system moja imeharibika, unaweza recover data kupitia system nyingine. Tumia virtual machine (kama VirtualBox) ukitaka kuangalia kilichomo kwenye flash isiyoaminika
👉Tumia PC isiyounganishwa na internet (air-gapped)
Kwa nini umerudia rudia sana maelezo yale yale? Kisa tu utoe info nyingi kabla hujaweka tangazo lako ama?
 
Back
Top Bottom