Je pc yangu inakidhi vigezo ku run dual boot?

Je pc yangu inakidhi vigezo ku run dual boot?

Paul S.S

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2009
Posts
6,407
Reaction score
3,260
Wadau laptop yangu kwasasa ina windows 7 na ninataka ni install pia windows xp pro sp3 niwe na chagua niboot na os gani, kwa kuangalia specification za pc yangu je itakuwa salama au ntakuwa nimeitwisha mzigo mkubwa.
Naombeni ushauri wenu kitaalamu
s.gif
s.gif
s.gif

HP G5052EA Notebook PC - Product Specifications
Hardware
Product Name G5052EA
Product Number GF776EA#UUW
Microprocessor
1.86 GHz Memory 2 x 512 MB
Video Graphics Intel® Graphics Media Accelerator 950
Video Memory
up to 128 MB (shared)
Hard Drive 120 GB 5400 rpm
Multimedia Drive Super Multi DVD Writer (+/-R +/-RW) with Double Layer support
Display 15.4�? WXGA High Definition BrightView Widescreen (1280 x 800)
Fax/Modem
High speed 56K modem
Network Card Ethernet 10/100BT integrated
Wireless Connectivity 802.11 b/g WLAN
Sound Altec Lansing® speakers
 
ingekua vzr kama ni 2.8 ghz na iwe na dual processor...
 
Ina run vizuri tu sababu hutakuwa unatumia OS zote kwa pamoja.

Ni OS moja tu inakuwa active .lakini kwanini utumie Windows 7 na XP katika dual boot? Unataka ku achive nini
hasa
 
Kama inaweza kubabeba windows 7 bila shida kuweka na Xp sidhani kama kuna shida coz ni sawa na lori lina uwezo wa kubeba tofali 100 ila kuna siku unataka libebe 50 so litaenda!!! ukiboot na moja ni moja nyingine haihusiki kwenye isssue ya Memory
 
lakini kwanini utumie Windows 7 na XP katika dual boot? Unataka ku achive nini hasa

mkuu nina simu zangu mbili MDA vario ii na sony ericssony p900 pc suite zake haziko compitable na win7, pia evdo modem yangu ya zamani ya sasatel haikubali win7, baadhi ya game nizipendazo hazikubali win7 na mengineyo
 
ushawah kuckia k2 kinaitwa driver genius ww?google it!
 
mkuu nina simu zangu mbili MDA vario ii na sony ericssony p900 pc suite zake haziko compitable na win7, pia evdo modem yangu ya zamani ya sasatel haikubali win7, baadhi ya game nizipendazo hazikubali win7 na mengineyo

Unatumia version gani ya hizo pc suite ?

Umejaribu kutumia pc suite za errickson nyingine kama hii http://www.sonyericsson.com/cws/sup...s/detailed/pcsuite/1.244990/k800i?cc=gb&lc=en ? au hiii http://www.sonyericsson.com/cws/support/softwaredownloads/detailed/pcsuite/1.347399/g900?cc=gb&lc=en zimegoma?

Unatumia version gani ya hizo pc suite ?

Umejaribu kutumia pc suite za errickson nyingine kama hii Sony Ericsson - Support - Softwaredownloads - Detailed - Pcsuite - K800i ? au hiii Sony Ericsson - Support - Softwaredownloads - Detailed - Pcsuite - G900 zimegoma?

Mkuu P900 ni version ya sikunyingi sasa 2000, hizo ni za simu za kisasa mara nyingi hii yangu natumia kama modem, kwa T mobile hivyo hivyo yangu inakubali activesync na inakubali kwa windows xp kurudi nyuma, nasasa wametoa mpya kwa ajili ya windows 7 na vista ambayo kimeo changu hakisapoti hiyo suite.
Week end nikitulia ntafanya hiyo kazi nadhani nahitaji kufanyia patrition 3 ya wn7, ya wnxp, na yakuwekea mafail yangu, unashaurije mkuu?
 
Back
Top Bottom