Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Refresh rate ni 30 mpaka 60 kwa hizi laptop zetu za kawaida, zaidi ya hapo hakuna advantage yoyote utakayopata kutokana na display.sawa mkuu shukran namambo ya refresh rate niweke ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refresh rate ni 30 mpaka 60 kwa hizi laptop zetu za kawaida, zaidi ya hapo hakuna advantage yoyote utakayopata kutokana na display.sawa mkuu shukran namambo ya refresh rate niweke ngapi
Refresh rate ni 30 mpaka 60 kwa hizi laptop zetu za kawaida, zaidi ya hapo hakuna advantage yoyote utakayopata kutokana na display.
Yah patch zinafanya games ziwe nzito,sawa mkuu nkmekuelewa niki set low resolotion 600*800 ndo inacheza vizuri baada ya muda kidogo nadhani ii patch niliodownload inachangia, itakuw ainataka pc yenye uwezo mkubwa zaidi ya yangu
Kingne fit girl kwenye GTA hana patch me nilidownload na INA run vzr tyu na PC yangu hata graphic card haina Pentium g3250 4then ram gb8 HDD GB 500 tusawa mkuu nkmekuelewa niki set low resolotion 600*800 ndo inacheza vizuri baada ya muda kidogo nadhani ii patch niliodownload inachangia, itakuw ainataka pc yenye uwezo mkubwa zaidi ya yangu
Kingne fit girl kwenye GTA hana patch me nilidownload na INA run vzr tyu na PC yangu hata graphic card haina Pentium g3250 4then ram gb8 HDD GB 500 tu
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Download Grand Theft Auto V / GTA 5 – v1.0.1868/1.50 Online - FitGirl Repacksume set vp kaka na yako ni version ipi nipe link labda nilio download mm ni vesion ya mbele inayotaka pc yenye uwezo mkubwa nitumie link ni icheki kaka, na serting zako kwanzia resolution fresh rate na vinginevo niweze pata soln maan nimeshusha resolution imekuwa kama gta vice city aina ata utamu
Setting upande wangu nimeweka normal tu zote direct x 10.1 ndio natumiaume set vp kaka na yako ni version ipi nipe link labda nilio download mm ni vesion ya mbele inayotaka pc yenye uwezo mkubwa nitumie link ni icheki kaka, na serting zako kwanzia resolution fresh rate na vinginevo niweze pata soln maan nimeshusha resolution imekuwa kama gta vice city aina ata utamu
Setting upande wangu nimeweka normal tu zote direct x 10.1 ndio natumia
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Nje kidogo ya mada sijui mkuu, hii laptop hp i3 6006u 2.0ghz ram4 hdd320gb intel hd graphics 520Refresh rate ni 30 mpaka 60 kwa hizi laptop zetu za kawaida, zaidi ya hapo hakuna advantage yoyote utakayopata kutokana na display.
Huwezi kuweka Nvidia, ila hapo ilipo unaweza cheza games nyingi tu kwa low graphics.Nje kidogo ya mada sijui mkuu, hii laptop hp i3 6006u 2.0ghz ram4 hdd320gb intel hd graphics 520
Ninaweza kuweka nvidia graphic card ?? Kama inawezekana naipata wapi?? Bei zake zikoje..
Je vipi kwa hapo ilipo naweza cheza gem katika ubora kweli ??
Ahaa asante sana kwahyo kumbe nvidia sio kitu cha kubadili kama ram au hddHuwezi kuweka Nvidia, ila hapo ilipo unaweza cheza games nyingi tu kwa low graphics.
Kwenye desktop na laptop highend ndio unaweza kubadiliAhaa asante sana kwahyo kumbe nvidia sio kitu cha kubadili kama ram au hdd
baadhi ya event za online pia inaweza ikasumbua ila kwa offline games kama career na volta atachea bila ya shidaCpu wise ina meet requirements ila kwenye GPU haimeet requirements,
Sema kwa uzoefu wangu si tatizo utacheza fifa 21 ila kwa quality ndogo, itabidi upunguze graphics quality.