Haziwezi kukatwa Kodi.
Kumbuka kipindi kile wakwati wa sakata ushiriki wa Big brother kwa Tanzania na maadili ya mle,
Kama unakumbuka vizuri,kundi la kina Lotus,walikuwa wanafanya ufuska mle,na yule mwenzie,pia mwisho,na Richard,na clips zote za mambo ya ngono yamo kwenye yupu tube na hata ukitafuta zinakuja.
Hii ni kuashiria hado wanakuwa wazee,basi uchafu wao utakuwemo mle,na dunia nzima kwa ujumla,hadi wanaingia kaburini basi laana ile bado inawafikia hukohuko maana kizazi kimechobakia kinabakia na uchafu badala na kumbukumbu nzuri.Na sipati picha kwamba na wao wanakuja kuwa na watoto,na hao watoto lazima waathirike kisaikolojia,maana hata wakiwa shuleni wenzao watakuwa wanachokoza na kuwaonyesha clips za baba zao au mama zao.Ni Mbaya sana
Sasa kuna kipindi waziri alifafanua kwamba hawawezi kuzuia mtanzania kushiriki Big brother maana hawana mamlaka ya kumzuia kwakuwa ni nje ya nchi na kibali hakitolewi Tanzania.
Licha ya kwamba Office za Multi choice zipo Tanzania,sasa kwa maana hiyo hata hizo pesa serikali wawe wapole,maana haziwahusupia
Sio kwa sababu ya kodi, ni kuzuia money laundering, drug money na terrorist financing.Nauliza maana kuna wakati nilisafiri kwenda Canada nikatakiwa kudeclare amount niliyobeba ikiwa imezidi Dola 10,000, nikajuliza sababu hasa ni nini? Je hawatataka kunichanja kodi?
Haziwezi kukatwa Kodi.
Kumbuka kipindi kile wakwati wa sakata ushiriki wa Big brother kwa Tanzania na maadili ya mle,
Kama unakumbuka vizuri,kundi la kina Lotus,walikuwa wanafanya ufuska mle,na yule mwenzie,pia mwisho,na Richard,na clips zote za mambo ya ngono yamo kwenye yupu tube na hata ukitafuta zinakuja.
Hii ni kuashiria hado wanakuwa wazee,basi uchafu wao utakuwemo mle,na dunia nzima kwa ujumla,hadi wanaingia kaburini basi laana ile bado inawafikia hukohuko maana kizazi kimechobakia kinabakia na uchafu badala na kumbukumbu nzuri.Na sipati picha kwamba na wao wanakuja kuwa na watoto,na hao watoto lazima waathirike kisaikolojia,maana hata wakiwa shuleni wenzao watakuwa wanachokoza na kuwaonyesha clips za baba zao au mama zao.Ni Mbaya sana
Sasa kuna kipindi waziri alifafanua kwamba hawawezi kuzuia mtanzania kushiriki Big brother maana hawana mamlaka ya kumzuia kwakuwa ni nje ya nchi na kibali hakitolewi Tanzania.
Licha ya kwamba Office za Multi choice zipo Tanzania,sasa kwa maana hiyo hata hizo pesa serikali wawe wapole,maana haziwahusupia
KODI ni kama PAI. Any income earned by residents either abroad or within the country is Taxable. To avoid Double taxation carefuully consideration of the differences in tax rates in two countries will apply. Pia kuna KODI ya KURUDISHA HELA NYUMBANI (Parent country of a firm or an Individual).
Sio kwa sababu ya kodi, ni kuzuia money laundering, drug money na terrorist financing.
KODI ni kama PAI. Any income earned by residents either abroad or within the country is Taxable. To avoid Double taxation carefuully consideration of the differences in tax rates in two countries will apply. Pia kuna KODI ya KURUDISHA HELA NYUMBANI (Parent country of a firm or an Individual).
Swali dogo tu, hizo hela atazitumia hukohuko SA?amefanya kazi nje ya tz amelipwa pesa nje ya tz kodi ya tra inahusikaje hapo? inamaana nikifanya kazi ujapan nikalipwa hukohuko ujapan, natakiwa nilipe kodi ya tra tz au ya tra ya ujapani??!! kama nikulipa kodi basi niya south africa ndio anatakiwa alipe sio ya tz.
yani kodi kibao za kampuni zinazofanya kazi humu ndani ya tz na kupata mapato yake huku tz, mnazisamehe kodi na wengine wanakwepa kama sinema ya escrow mnatolea macho kodi ya BBA ambayo ni mapato ya nje ya tz! punguani nyinyi!!
Wataalamu wa masuala ya kodi na sheria hebu tujuzeni kama pesa za mshindi wa BBA season 9 Idris Sultan zinapaswa kutozwa kodi kwa mujibu wa sheria zilizopo Hapa nchini. Nauliza kwa sababu nataka kujifunza.
tra ya ujapani??!!