Je! Pesa za Mshindi wa BBA Idris zinapaswa kukatwa kodi?

Je! Pesa za Mshindi wa BBA Idris zinapaswa kukatwa kodi?

Umegusia vifungu, penginenukawa na muonhozo technical.

Mtanzania anayeishi nje ya nchi akikaa Tanzania siku moja mwaka 2014, serikali itamkata kodi wapi kwenye income yake anayoipata nje ya Tanzania ambayo Tanzania hata haijulikani?

Na vipi kama yuko nje ya nchi na hajakanyaga Tanzania mwaka mzima? Criteria japa ni siku alizokaa ndani ya nchi au status yake kama raia?

kiranga s.66 imeongelea residential status ya mtu astahiliye kukatwa kodi. pia s.6(2). ukisoma hizo mbili iko very clear ila sikumbuki exactly wording yake. sina income tax act hapa sasa hv ila nikiipata ntakuchotea...unaweza cheki mtandaoni
 
A tax code is only as relevant as it is enforceable.

If your original assertion is correct, how do they track kuna Watanzania wangapi wanafanya kazi nje ya nchi na mapato yao ni kiasi gani na kodi tuwakate kiasi gani, kivipi?
 
Pato la kodi kitita cha BBA, litafidia donor funds zilizozuiliwa. Hahaha hujashiba kunde,je choroko zitakushibisha.
 
Bora hata angekatwa kodi tujengee barabara asee
 
Back
Top Bottom