Je! Pesa za Mshindi wa BBA Idris zinapaswa kukatwa kodi?

Hiyo inapigwa kodi, ni income, kwa hiyo inapigwa income tax.

Hata ukishinda bahati na sibu kwa wanaojua kodi in principle unapigwa kodi.
 
Income aliyo earn Idrisa ni liable to payment of Income tax,as it is forming part of total chargeable income of the individual.
Well the income has repatriated sorce.And as he is resident of united republic of Tanzania for the year of income or any part of the year of income,He is required to pay income tax.
 
KWA tax act ya arusHa

Alipi kodi sijuikama huko Dar zinapitia Tax act zao zinasemajee


Embunijitayarishe .BBA YA MWAKANI....
 
Kwa wasiofahamu, wale wanariadha wa Kenya wanaoiletea sifa Nchi yao kwa kushinda medali na fedha lukuki serikali yao ina mpango wa kupeleka muswada bungeni wawe wanalipia kodi ya mapato kwa pesa wanazopewa wakishinda kwenye riadha. TZ tunapaswa kuangalia vyanzo zaidi vya mapato.kuliko kutegemea kodi za sigara, viroba & chibuku
 
Hiyo hela ni Taxable!!
kwahiyo akina thomas ulimwengu na mbwana samatta wanapaswa kulipa kodi tra kila mwezi wakipata mishahara yao tp mazembe??
embu nieleweshe zaidi

kwahiyo Kiranga na Nyani Ngabu wakibeba box na kulipwa huko walipo wanapaswa kuleta kodi ya tra hapa tz?
nielewesheni zaidi
 
Last edited by a moderator:
Tofauti na watanzania wanaofanya kazi full time nje ya Nchi, kwa idris anaingiza pesa Nchini possibly kwa kutumia akaunti yake ya Hapa nchini. Nia ya kuuliza hili ni ktk kujifunza mambo ya kodi kwa wanaoingiza pesa nchini.
 

Kama hao uliowataja hua wanakaa hapa Bongo basi ni Taxable, ila kama wanakaa huko huko basi haikatwi kodi.

Kuna kitu kinaitwa YEAR OF INCOME, jaribu kucheki INCOME TAX ACT uone!!
 
Last edited by a moderator:

jibu ni hapana kwa sababu pesa haijavuka maji,ila ikija huku bongo lazima ikatwe
 
akitaka asikatwe kodi akaitumie hiyo hela SA ikiisha arudi bongo ,ila akija tu lazima ikatwe income tax,ni kama kulipa PAYE
 

Watu wenye mifumo ya kodi wanafanya hivyo.

Wamarekani dunia nzima wanatakiwa kuandika Tax Return na kuwakilisha TRA yao.

Bila kujali kama wanaishi Singapore au Tanzania. Kuna dogo alikuwa Brazil-American alianzisha Facebook na Mark Zuckerberg, akakimbilia kuishi Singapore na mibiashara yake, mkono mrefu wa IRS (TRA ya Marekani) ukamfikia mpaka huko. Ikabidi kukwepa kodi ajivue uraia wa Marekani.

Soma hapa

Facebook Co-Founder May Gain Choosing Singapore over US.

http://www.bloomberg.com/news/2012-...er-may-gain-choosing-singapore-over-u-s-.html

Kwetu huko kodi yenyewe kulipa rasmi kimfumo kaweka Mkapa juzi, siwezi kushangaa ikiwa watu hawalipi property taxes, nini huyo Idris.
 

umeeeleza pouwaa sanaaa kk
 

jamani mbona mapema sana kuanza kujadili pesa za idris haaaa mambo mengine ni binafsi sanaaa
 
jamani mbona mapema sana kuanza kujadili pesa za idris haaaa mambo mengine ni binafsi sanaaa

Hapa tunajadili zaidi ya pesa za Idris, tunajadili mpaka tofauti za mfumo wa kodi wa Tanzania na Marekani.

Na hata kama tungejadili pesa za Idris, a public figure who won a prize out of a show that is based on exploiting peresonal exposure, tatizo liko wapi?

Mapema sana? Lini itakuwa muda muafaka?

Ni binafsi sana? Tangu lini mtu anayejali faragha zake binafsi akaenda kushiriki "Big Brother" ?
 
kulingana na sheria ya kodi ya mapato ya mwaka 2004 kuna vitu kadhaa vya kuangalia kama ifuatavyo...
1. year of income
2. residential status...s.66
3. chargeable income....s.4
4. s.6 how that income was earned
5. double taxation
6. bilateral agreement kati ya tz na sa.
maelezo:
year of income is 2014...in that year idris alikuwa ni mtanzania na kulingana na hiyo section 66...mtanzania hata akiishi siku moja ndani ya jamhuri hata kama yuko nje ya nchi income yake inachajiwa tz...

gift,bahati nasibu n.k vyote ni vipato vinavyostahili kulipa kodi kulingana na s.4(included income subsection).

kama kuna makubaliano ya kikodi kati ya sa na tz basi kodi ikikatwa sa tz haiguswi tena ku avoid double taxation...ila kama hakuna bilateral agreement kati ya tz na sa...ikikatwa sa inaweza kukatwa tz ni busara tu ndio yaweza okoa jahazi.

kwa hiyo pesa ya idris ni lazima itakatwa kodi either tz au sa...ikikoswakoswa sa then tz itapaswa ikatwe kodi labda wafanye makusudi kama walivofanya kwenye iptl
 
Hivi bongo star search winners huwa wanakatwa kodi?
 

Umegusia vifungu, penginenukawa na muonhozo technical.

Mtanzania anayeishi nje ya nchi akikaa Tanzania siku moja mwaka 2014, serikali itamkata kodi wapi kwenye income yake anayoipata nje ya Tanzania ambayo Tanzania hata haijulikani?

Na vipi kama yuko nje ya nchi na hajakanyaga Tanzania mwaka mzima? Criteria japa ni siku alizokaa ndani ya nchi au status yake kama raia?
 
•Tz wakikomaa nikatwe kodi nafungua account ya visa SA then nikija bongo natoa mapene tu na visa kadi yangu.
•TRA mwacheni idris agawane umasikini na warembo wa bongo movie,m1 ashaanza kujipendekeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…