Nyamtala Kyono
Senior Member
- Sep 23, 2010
- 163
- 34
Umegusia vifungu, penginenukawa na muonhozo technical.
Mtanzania anayeishi nje ya nchi akikaa Tanzania siku moja mwaka 2014, serikali itamkata kodi wapi kwenye income yake anayoipata nje ya Tanzania ambayo Tanzania hata haijulikani?
Na vipi kama yuko nje ya nchi na hajakanyaga Tanzania mwaka mzima? Criteria japa ni siku alizokaa ndani ya nchi au status yake kama raia?
kiranga s.66 imeongelea residential status ya mtu astahiliye kukatwa kodi. pia s.6(2). ukisoma hizo mbili iko very clear ila sikumbuki exactly wording yake. sina income tax act hapa sasa hv ila nikiipata ntakuchotea...unaweza cheki mtandaoni