Siku hizi kuna watu wanaangalia vidoleni tuu,wakikuta pete lazima utongozwe,hii inasababishwa na watu kuchoka usumbufu,wakiwa na imani kuwa wakimfuata mtu aliye kwenye ndoa,hatopata usumbufu wa kufuatiliwa wala mizinga ya kijinga jinga,hapo ni penzi tuu!!
Mimi nafikiri pete za ndoa zina umuhimu wake katika kutunza ndoa. Ninaamini kabisa kuwa mnapovalishana pete ni ishara ya kukubali kumilikiana kuwa kila aliyeivaa pete ya mwenzie anakuwa mali ya mwenzie huyo peke yake. Sasa yanayojiri baada ya hapo ni ubazazi tu wa mvaaji.
Si ndio maana zinabarikiwa kwanza huko makanisani au?
By the way naomba mnijuze
Ukiolewa/oa unaruhusiwa kuibadili pete uliyovalishwa siku ya ndoa? meaning kama ulifunga ndoa na pete ya silver unataka kuchange kwenye gold kuna ubaya? Au ulivalishwa mpete mkuubwa unataka kuireplace na ndogo/nyembamba inaruhusiwa au?
All in all it boils down to an individual, tabia yake ikoje, haiwezi kamwe kubadilishwa kwa kuvaa pete ya ndoa....nikisema hivyo simaanishi watu mkazitupe mmliozivaa!
ZD na Chris mnavishana lini? tupeni progress mi na Mrs hapa tujiandae...
kwa nini wataka kuvaa ndogo nyembaba MJ1?...😱🙄😀
labda ndogo nyembamba ndo choice yakekwa nini wataka kuvaa ndogo nyembaba MJ1?...😱🙄😀
Nilijua tu hapa lazima uta'sema'!!
Ni utashi tu wajua sie tunaishi kitaani vibaka wanatukodolea macho sasa mpete mkuuuubwa ukichelewa home usiku inabidi uivue uifutike kama unavyofutika simu ukipanda daladala (ila ole wako ukutwe umeivua lol)
Chrispin kwa nini uliivua ???
Nilijua tu hapa lazima uta'sema'!!
Ni utashi tu wajua sie tunaishi kitaani vibaka wanatukodolea macho sasa mpete mkuuuubwa ukichelewa home usiku inabidi uivue uifutike kama unavyofutika simu ukipanda daladala (ila ole wako ukutwe umeivua lol)
Nilikuwa nahudumia kabustani ka tumigomba. Nikang'atwa na nge kidole kikavimba. Sasa nilipoivua sikumstua wife. Kesho yake asubuhi nilipotimka job si nikasahau kuivaa? Nikarudi mida imeenda kidogo na kaserengeti kamenoga kichwani. Si ndio msala ukazuka.
labda ndogo nyembamba ndo choice yake
pole mwaya hope wife alikuelewa hahahahahahahah
si umemsikia apo juu eti anaogopa 'vibaka' mtaani (sio kitaani)....hivi huwa hawapendi kubeba pochi nzima kuliko kuhangaika na kidole? lol
Alinielewa lakini baada ya msala mkubwa. Kilichookoa, kwenye upekuzi wa kuitafuta (tulikubaliana tuitafute hata ikibidi mpaka kukuche) aliipata yeye. Asingeipata nadhani mida hii ningekuwa single.
si umemsikia apo juu eti anaogopa 'vibaka' mtaani (sio kitaani)....hivi huwa hawapendi kubeba pochi nzima kuliko kuhangaika na kidole? lol
Hahaha! Bestman umeistukia hiyoe! We kichwa!
Kiongozi kama akili zako za kushikiwa utashangaa unaoigwa za uso tu!