Je, Polepole yupo salama post aliyoiachia Mohamed Kawaida huko mtandaoni inatia mashaka huku wengine wakisema done

Je, Polepole yupo salama post aliyoiachia Mohamed Kawaida huko mtandaoni inatia mashaka huku wengine wakisema done

Tajiri wa kinyankole

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,977
Reaction score
4,912
Kwa siasa za Tanzania na mambo ambayo amekuwa akiyatolea taarifa polepole kwa nyakati tofauti tofauti lazima kuwepo kwa mashaka makubwa.

kwani huyu mtu amekuwa akilalamika kutafutwa kwa lengo la kumdhuru mara nyingi na watu ambao binafisi yeye hakusema ni vyombo vya dola, post kama ya mohamed kawaida kuonesha video ya polepole siyo ya bahati mbaya lazima wakati mwingine tutilie shaka kwani ni kada mwenzake ambaye kwa kiasi kikubwa wametofautiana sana kimtazamo ingawa wote wapo chama cha mapinduzi.

Wenye ukaribu na Polepole msisite kutupa taarifa zake kujua kama yupo salaama kwani wengine kwa sasa tumesahau kuangalia TBC ya mama yule isipokuwa tunasikiliza darasa huru analotoa Polepole juu ya taifa letu.

Pia soma GE2025 - Polisi: Polepole afike Ofisi ya Mpelelezi wa Makosa ya Jinai ili kuthibitisha Tuhuma anazozitoa

Chini ni Post ya Mohamed Kawaida huko Instagram
Screenshot_20250916-080613_Instagram.jpg
 
post ya mohamedi? never trust mwamedi wa tanzagiza hata siku moja ...
 
Labda anamaanisha wamemvunja marinda (anamdhihaki) kutokata na swaga za polepole kwenye hiyo video
 
Nchi ngumu sana hii! Unatafuta mtu ambaye hana kosa ! Hawa viongozi ambao hawataki kukosolewa tutawavumulia. hadi lini
 
Back
Top Bottom