Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,977
- 4,912
Hii nchi imekuwa ni ya kijinga mpaka basi.Polepole ana kosa gani?
Yaani ni mhalifu wa kitu gani mpaka watu wengime watamani afanyiwe ubaya??
Aoyo mwizi wala fisadi. Siyo tishio kwa usalama wa umma, hana hata wembe.