Je Polisi bado wanamshikilia Wakili Albert Msando?

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
ndugu zangu jana tulipata habari kutoka Arusha ya kwamba polisi walikuwa wakimshikilia wakili Albert Msando baada ya kutokea vurugu kwenye chuo cha uhasibu Arusha (Arusha Institute of Accountancy) ambapo chanzo cha vurugu zile ni kiburi, ubabe na majivuno ya mkuu wa mkoa Magessa Mulongo.
sasa napenda kujua kama bado polisi wanaendelea kumshikilia wakili Albert Msando na wanamshikilia wakili huyu kwa makosa gani?
wasiwasi wangu isije ikawa kuna mpango wa kumbambikizia wakili Albert Msando kesi ya mauaji kwasababu tayari mkuu wa mkoa amemwambia mheshimiwa mbunge Godbless Lema atambambikizia kesi anayotaka yeye (Magessa Mulongo).
 
Mi mwenyewe nasubiri hizo taarifa kwa wana Ar, sijui ni network au nini
 
Nasikia alitoa maelezo na kuondoka lakini alizungumza na RC kuwa ni vurugu zipi alizochochea wakati walikuwa wote? Yeye alipita akielekea kwake ambapo ni jirani na chuo ndio akaona vurugu na kwa kuwa huwa anafundisha hapo akaona asaidie kupata ufumbuzi
nadhani magessa amekosea na anadhani a- town ni kama bwagamoyo
 
Albert alikuwepo mtaani, nimemuona mida ya saa mbili hivi ....
 
Nimeonana naye jana maeneo ya TRA na tuliongea kifupi kwa hiyo sidhani kama polisi wanaweza kulishikilia jembe lile
 
Nimeonana naye jana maeneo ya TRA na tuliongea kifupi kwa hiyo sidhani kama polisi wanaweza kulishikilia jembe lile

haaahaaaaa mkuu wakimweka ndani sawa na kumuweka kikwete ndan so m nkiona hivyo napiga bwaaaaabwaaaaaaaa haaiiiiiiiiiii onetymeeeeeee babake anazidi kutuongezea cv huyo mkuu wenu wa mkoa shame n him loh
 
kweli hii ni ujinga +upumbavu+uzembe=na mauti hawa viongozi wanao pewa madaraka mi nafikiri wanakua na akili ndogo sasa huyu mkuu wa mkoa ana mamlaka gani ya kuamuru mtu akamatwe kwa makosa ya kijinga huu ni upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…