mhalisi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,181
- 322
ndugu zangu jana tulipata habari kutoka Arusha ya kwamba polisi walikuwa wakimshikilia wakili Albert Msando baada ya kutokea vurugu kwenye chuo cha uhasibu Arusha (Arusha Institute of Accountancy) ambapo chanzo cha vurugu zile ni kiburi, ubabe na majivuno ya mkuu wa mkoa Magessa Mulongo.
sasa napenda kujua kama bado polisi wanaendelea kumshikilia wakili Albert Msando na wanamshikilia wakili huyu kwa makosa gani?
wasiwasi wangu isije ikawa kuna mpango wa kumbambikizia wakili Albert Msando kesi ya mauaji kwasababu tayari mkuu wa mkoa amemwambia mheshimiwa mbunge Godbless Lema atambambikizia kesi anayotaka yeye (Magessa Mulongo).