Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kuna hadi KIWINGU?
😂😂Kumbe kuna hadi KIWINGU?
Nikamuulize nani sasa kama mtaalamu wa vyombo unanikataa?😂😂
huijui Kiwingu, kuna hadi Bongo Don,
Naomba nisiulizwe kama Jux..!!
😂😂Nikamuulize nani sasa kama mtaalamu wa vyombo unanikataa?
😁
Oooh, samahani bwana nilisahau kuwa wewe ni mstaafu mwenzangu.😂😂😂
mzee, hiyo 'mtaalamu wa vyombo' ni compliment yangu kweli..?? Ama ni comment imekosewa..??
😂😂😂Oooh, samahani bwana nilisahau kuwa wewe ni mstaafu mwenzangu.😂
Tumestaafu bwana😂😂😂😂
Ni tumestaafu ama ni sahii tumejipata mzee mwenzangu..??
Story za vijiwe, achana na story za kusikia bar, fuata ushauri wa wataalamu wa afya.