Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Kumbe kuna hadi KIWINGU?
ππKumbe kuna hadi KIWINGU?
Nikamuulize nani sasa kama mtaalamu wa vyombo unanikataa?ππ
huijui Kiwingu, kuna hadi Bongo Don,
Naomba nisiulizwe kama Jux..!!
ππNikamuulize nani sasa kama mtaalamu wa vyombo unanikataa?
π
Oooh, samahani bwana nilisahau kuwa wewe ni mstaafu mwenzangu.πππ
mzee, hiyo 'mtaalamu wa vyombo' ni compliment yangu kweli..?? Ama ni comment imekosewa..??
πππOooh, samahani bwana nilisahau kuwa wewe ni mstaafu mwenzangu.π
Tumestaafu bwanaππππ
Ni tumestaafu ama ni sahii tumejipata mzee mwenzangu..??
Story za vijiwe, achana na story za kusikia bar, fuata ushauri wa wataalamu wa afya.