Je, pombe ni madawa ya kulevya?

Je, pombe ni madawa ya kulevya?

Madawa ya kulevya ni nini, kitaalam, na je, pombe inaangukia katika kundi hilo la madawa ya kulevya? If not, why?! Ukizingatia ongezeko la ‘GABA’ mwilini?

Kemikali yoyote inayolewesha na kupelekea uraibu...

Madawa ya kulevya ni aina ya madawa au vilevi ambapo mtumiaji akishatumia mfumo wa mwili na akili yake hubadilika.
 
Unashangaa pombe? Shangaa kahawa na chai zimo katika kundi la dawa za kulevya. Pombe ni aina ya dawa kulevya iliyo katika kundi la pili, kundi lingine lina kahawa na chai. Kundi la kwanza ndio linalolopigwa marufuku kuliko makundi mengine, kundi la kwanza la dawa za kulevya lina cocaine, heroine, bangi na nyingine za aina hizo. Kuna kundi lina tumbaku, dawa za kulevya zipo za aina nyingi, zilizochakatwa na zingine ni ghafi. Makundi mengine ya dawa za kulevya hayapigwi marufuku kwa nguvu kubwa na mengine hayapigwi marufuku kabisa kutokana na uraibu wake
Vipi kuhusu pilipili
 
Pombe mbona nikinywaji kama soda ila pombe lazima iwe na alcoh
 
Kuna pombe ambazo hazina vileo

Kusipokuwa na kileo hiyo sio pombe...

Kikemikali ili kinywaji kiitwe pombe lazima kuwe na uwepo wa kitu kinaitwa hydroxyl group, –OH (inaweza ikawa moja, mbili au zaidi) kilichojiattach kwenye carbon...

Types-of-Alcohols.png
 
Kusipokuwa na kileo hiyo sio pombe...

Kikemikali ili kinywaji kiitwe pombe lazima kuwe na uwepo wa kitu kinaitwa hydroxyl group, –OH (inaweza ikawa moja, mbili au zaidi) kilichojiattach kwenye carbon...

Types-of-Alcohols.png
Kabisa, bila alcohol hiyo sio pombe
 
Pombe ni dawa ya kulevya na ni kweli ina badilisha uwiano wa dopamine na GABA kwenye ubongo. Ukienda kwenye program ya narcotics anonymous wana kuambia kabisa pombe ni dawa za kulevya kwa sababu ina badili uweza kufikiri na hisia.
 
Back
Top Bottom