Je, pombe ni madawa ya kulevya?

Madawa ya kulevya ni nini, kitaalam, na je, pombe inaangukia katika kundi hilo la madawa ya kulevya? If not, why?! Ukizingatia ongezeko la ‘GABA’ mwilini?

Kemikali yoyote inayolewesha na kupelekea uraibu...

Madawa ya kulevya ni aina ya madawa au vilevi ambapo mtumiaji akishatumia mfumo wa mwili na akili yake hubadilika.
 
Vipi kuhusu pilipili
 
Pombe mbona nikinywaji kama soda ila pombe lazima iwe na alcoh
 
Kulingana na kichwa cha habari jibu ni "hapana" ndio maana kuna leseni ya pombe ila hakuna leseni ya madawa ya kulevya.
 
Kuna pombe ambazo hazina vileo

Kusipokuwa na kileo hiyo sio pombe...

Kikemikali ili kinywaji kiitwe pombe lazima kuwe na uwepo wa kitu kinaitwa hydroxyl group, –OH (inaweza ikawa moja, mbili au zaidi) kilichojiattach kwenye carbon...

 
Kusipokuwa na kileo hiyo sio pombe...

Kikemikali ili kinywaji kiitwe pombe lazima kuwe na uwepo wa kitu kinaitwa hydroxyl group, –OH (inaweza ikawa moja, mbili au zaidi) kilichojiattach kwenye carbon...

Kabisa, bila alcohol hiyo sio pombe
 
Pombe ni dawa ya kulevya na ni kweli ina badilisha uwiano wa dopamine na GABA kwenye ubongo. Ukienda kwenye program ya narcotics anonymous wana kuambia kabisa pombe ni dawa za kulevya kwa sababu ina badili uweza kufikiri na hisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…