Kwa sisi tulioomba daraja la 3a!
Kwa sisi tulioomba daraja la 3a!
Sasa wewe mbona unakimbele front nani amekuuliza kuhusu kuajiriwa au kujiajiri..mwenye thread kauliza post za kwenda kusoma ualimu wewe unamjibu kitu kingine...soma thread vizuri kabla ya kukurupuka kujibu..Acha habari ya kuajiliwa, buni chochote ufanye wakati unasubiri. badilika, nchi inawaka moto!!!
Kwa sisi tulioomba daraja la 3a!
Kwa sisi tulioomba daraja la 3a!
Sasa wewe mbona unakimbele front nani amekuuliza kuhusu kuajiriwa au kujiajiri..mwenye thread kauliza post za kwenda kusoma ualimu wewe unamjibu kitu kingine...soma thread vizuri kabla ya kukurupuka kujibu..
ndugu yangu kuwa mstaamilivu katika hilo ,post zitatoka tu najua mtaani panachosha,na mim mwenyew na wait tcu so 2po pa1
Nyie mmepangiwa chuo cha ufugaji wa nyuki tabora.Kwa sisi tulioomba daraja la 3a!
bwana mdogo (mpigamsuli) punguza munkari, kwani yeye kasema kwamba yupo mtaani??? na kwani kakuuliza mambo yako na TCU?? be patient...