GE2025 Je, Prof. Shivji amekamatwa na mamlaka? Anayefuata ni Prof Tibaijuka baada ya kutoa maoni dhidi ya Serikali

GE2025 Je, Prof. Shivji amekamatwa na mamlaka? Anayefuata ni Prof Tibaijuka baada ya kutoa maoni dhidi ya Serikali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Narudia kusema, huwa ni hatari sana Watu wajinga kupewa Mamlaka, ni hatari Mnoo !!.

Akaunti ya Profesa Shivji ya mtandao wa X imefutwa siku chache baada ya kutoa maoni kuwa mateso yanayotolewa na vyombo vya dola ni udhalilishaji wa hali ya juu.

Shivji.jpg


Pia soma > GE2025 - Profesa Shivji: Mateso hasa yale yanoyotendwa na vyombo vya dola ni udhalilishaji wa hali ya juu wa utu wa binadamu
 
Watateka wangapi
Na watateka Hadi lini maana kila siku Wadai haki wanaongezeka
Chuki inazidi Kwa jamii dhidi ya serikali
 
Narudia kusema, Huwa ni Hatari sana Watu wajinga kupewa Mamlaka, ni hatari Mnoo !!.

Fikiria, Samia ,Mafwele ,Muliro na genge lao ambalo Kihalasia Nina uhakika ELIMU ZAO NI ZA HAPA NA PALE .

Linaenda Kumteka PROF SHIVJI🤣🤣

AAAAAAHHH !!! .
Sasa mbona hujatueleza chochote kuhusu "Profesa Shivji kutekwa"?
 
Back
Top Bottom