Je, Putin anapigana unpopular?

W
Urusi hawana media za propaganda??? Hivi unajua nchi nyingi za Africa mara baada ya uhuru ni wapi walienda kusomea propaganda? Unamjua vizuri Kingunge Ngombale Mwiru???
Wangapi wanaifatilia rt au hata fox news tu ya huko kwa beberu
 
Sema vyombo vya magharibi vimeteka njia zote za kutolea habari. Habari tunazosikia ni za upande mmoja tu.
Narudia tena, hivi Urusi na utemi wake wote inashindwaje kujibu mashambulizi kupitia media?? Je Puttin hana marafiki wa kumsaidia kufanya propaganda na yeye?? Kule Urusi wananchi wake wanaandamana kumpinga na hapo unasemaje au na hao waandamanaji wamelipwa buku Saba???
 
Angalia hali halisi. Angalia jinsi nchi za magharibi zilivyotandaza mashirika yao makubwa ya utangazaji. angalia insi walivyoteka social networks na habari za mtandaoni. unafikiri Urusi anaweza kupigana nao kwenye vita ya media?
 
Ndo maana yeye anapiga tu bila kelele mingi
 
Punguzeni mihemko Putin Putin Putin si mmfate huko
 
Tusiwe na double standards US
ndio anaongoza kwa kushambulia nchi nyingine kama Iraq walisingiziwa wana biological weapons

Lakini US wananchi wa Iraq walimuunga mkono Hadi kuangusha sanamu lake. Ila Hali Ni tofauti kwa Urusi wananchi hawamtaki.
 
Uchambuzi wako haupo huru period.
 
Upopular ipi man?Maana vyombo ya habari vya west ndo vinapika propaganda ili ionekane urusi anachukiwa

Kwa hivyo Urusi Hana vyombo vua habari?. Kama Hana vyombo vya habari shauri zake.
 
Pumba tupu[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kwa mtazamo wangu, Russia hakutakiwa kuingia moja kwa moja Ukraine, bali alitakiwa awatengenezee mgogoro wa ndani.
 
Urusi hawana media za propaganda??? Hivi unajua nchi nyingi za Africa mara baada ya uhuru ni wapi walienda kusomea propaganda? Unamjua vizuri Kingunge Ngombale Mwiru???
Urusi wana RT. Ina propaganda
 
Let the mighty God intervene for sure!
Vita ya Ukraine na Urusi ni kati ya wayahudi wa Ukraine na wasio wayahudi

Myahud Daudi Zelensnkyy Raisi wa Ukraine lazima utamshinda Goliathi Putin Raisi wa Urusi kwenye hii vita

Mungu ataonyesha muujiza utakaoiacha dunia hoi kwa kipigo atakachopata Goliathi Putin na Jeshi lake

Goliath Putin unakwenda kuanguka kwa Jina la Yesu na Jeshi lako

Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo aliyewapigania wayahudi karne nyingi awashindie dhidi ya huyo Goliath Putin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…