Je, Radio station huwa wanachezeshaje draw za mchongo pesa?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Yaani ili kupata namba ya ushindi huwa wanatumia mechanism gani ku’roll the dice’?

Yaani mtu anaibuka tu anakwambia tunamoigia mshindi, from nowhere! Akimpigia mtoto wa mjomba wake je? Hakuna transparency kama ya sports betting, ambapo goli likifungwa kila mtu analiona na hakuna ujanja ujanja..

Kucheza kamari za redioni ni sawa na kujitekenya ukitegemea ucheke, its utter nonsense
 
Wanatengeneza pesa nyingi sana ndani ya muda mfupi. Nakumbuka jamaa alining'ata sikio yupo pale Clouds Digital department alinambia sijui ndiyo Biko ile kama sikosei, ndani ya nusu saa au saa 1 kama sijakosea walikuwa wanaingiza mpunga mrefu karibuni milioni 50 au 100 ile kama kumbukumbu zipo sawa.

Kuhusu droo kuna software inatumika inachagua randomly.
 
Wanatengeneza pesa nyingi sana ndani ya muda mfupi. Nakumbuka jamaa alining'ata sikio yupo pale Clouds Digital department alinambia sijui ndiyo Biko ile kama sikosei, ndani ya nusu saa au saa 1 kama sijakosea walikua wanaingiza mpunga mrefu karibuni milioni 50 au 100 ile kama kumbukumbu zipo sawa.

Kuhusu droo kuna software inatumika inachagua randomly.
Acha chai pesa wanaingiza ila sio 50M hii 50M hata kwa wiki hawafikishi, hivi unaijua 100Mil au unatamka tu?? Wale njaa kali
 
Wanatengeneza pesa nyingi sana ndani ya muda mfupi. Nakumbuka jamaa alining'ata sikio yupo pale Clouds Digital department alinambia sijui ndiyo Biko ile kama sikosei, ndani ya nusu saa au saa 1 kama sijakosea walikuwa wanaingiza mpunga mrefu karibuni milioni 50 au 100 ile kama kumbukumbu zipo sawa.

Kuhusu droo kuna software inatumika inachagua randomly.
Hiyo software credibility yake ikoje, nani anaikagua fairness yake?
 
Yaani ili kupata namba ya ushindi huwa wanatumia mechanism gani ku’roll the dice’?

Yaani mtu anaibuka tu anakwambia tunamoigia mshindi, from nowhere! Akimpigia mtoto wa mjomba wake je? Hakuna transparency kama ya sports betting, ambapo goli likifungwa kila mtu analiona na hakuna ujanja ujanja..

Kucheza kamari za redioni ni sawa na kujitekenya ukitegemea ucheke, its utter nonsense
hii mimi inanishangaza sana
 
Kama bonanza Tu la mchina , token zinawekwa linazunguka , Ila huwa wanacommand lifatishe wanavyotaka , mfano wanataka wa mkoa fulan ndo ashinde , hamna fairness yyte
 
Yaani ili kupata namba ya ushindi huwa wanatumia mechanism gani ku’roll the dice’?

Yaani mtu anaibuka tu anakwambia tunamoigia mshindi, from nowhere! Akimpigia mtoto wa mjomba wake je? Hakuna transparency kama ya sports betting, ambapo goli likifungwa kila mtu analiona na hakuna ujanja ujanja..

Kucheza kamari za redioni ni sawa na kujitekenya ukitegemea ucheke, its utter nonsense
Utapeli wa kuchangishwa gizani kisha waliochanga wanachagua kwa generate sasa sijui kwa kuona tumpe nani
 
Acha chai pesa wanaingiza ila sio 50M hii 50M hata kwa wiki hawafikishi, hivi unaijua 100Mil au unatamka tu?? Wale njaa kali

Pole sana sasa wanaingiza zaid ya hiyo 50m jamaa aliyosema watu wanacheza wengi sana na wanapiga pesa ndefu sana

Unajua ili uanzishe kampun ya kubet kama ile unapaswa uwe na mtaj(cash) bank kias gan au unakutupuka tu?
 
Back
Top Bottom