Je Rais ajaye atakubaliana na katiba pendekezwa?

Je Rais ajaye atakubaliana na katiba pendekezwa?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Najiuliza endapo Rais ajaye akiikataa katiba pendekezwa je anaweza kutengua maamuzi ya Rais aliyemtangulia je sheria inasemaje? Au lazima arudishe mswaada bungeni?
 
Lowasa kama anataka uraisi na ashinde kwa kishindo basi awaahidi watanzania rasimu ya Warioba ndiyo itakayopitishwa. Maana bila hivyo hawezi kuibadilisha nchi kwa utawala huu na viongozi hawa hawa
 
Najiuliza endapo Rais ajaye akiikataa katiba pendekezwa je anaweza kutengua maamuzi ya Rais aliyemtangulia je sheria inasemaje? Au lazima arudishe mswaada bungeni?

msubiri huyo Rais siku akiapishw ndo ulete hii thread yako
 
Najiuliza endapo Rais ajaye akiikataa katiba pendekezwa je anaweza kutengua maamuzi ya Rais aliyemtangulia je sheria inasemaje? Au lazima arudishe mswaada bungeni?

Na wewe umeshawahi kujiuliza kama kuna sheria yoyote inayosimamia mchakato huu wa upatikanaji wa katiba mpya??na mara baada ya kura ya maoni nini kinafuatia??? Na huyo rais mpya unayemsema wewe ataapishwa kwa katiba gani???
 
Ok sasa kisheria kuna uwezekano kuwatia nguvuni akina six?

Mpunga mrefu je unarudishwa vipi mpunga wawananchi?

Ona jinsi mlivyo vilaza mnavyojibizana wenyewe kwa wenyewe na kulishana sumu ya panya teh teh teh image.jpg
 
Back
Top Bottom