Je rais anaweza kutenda kosa la uhaini?

Je rais anaweza kutenda kosa la uhaini?

Katika ibara ya 84:2:d ya rasimu ya katiba kinazungumzia moja ya makosa ambayo yatamwondoa rais madarakani na kushitakiwa. je ni kwa vipi rais anaweza tenda kosa la uhaini? wanasheria tupeni majibu humu.
 
Anatenda sana, wewe unafikiri suala la kutoa gas mtwara kwa nguvu na kuuwa watu sio Uhaini huo! ????
 
why ..

Hebu angalia hapa alafu ujijibu mwenyewe.

Uhaini = Treason

Treason is the crime of betraying one's country,

Treason is


  • 1. The offense of acting to overthrow one's government or to harm or kill its sovereign.
  • 2. A violation of allegiance to one's sovereign or state.
  • 3. The betrayal of a trust or confidence; treachery.

Treason against the Nation shall consist only in levying war against them, or in adhering to their enemies, giving them aid and comfort.

Treason requires overt acts and includes the giving of government security secrets to other countries, even if friendly, when the information could harm Tanzanian security.

Treason can include revealing to an antagonistic country secrets such as information on our Defense Forces.

Treason may include "espionage" (spying for a foreign power or doing damage to the operation of the government and its agencies, particularly involved in security) but is separate and worse than "sedition" which involves a conspiracy to upset the operation of the government.

Sasa Je? Rais hawezi kufanya hayo? - na kama akifanya basi anaweza kushtakiwa kwa Uhaini.
 
  • Thanks
Reactions: why
Back
Top Bottom