Zanzibar 2020 Je, Rais Dkt. Magufuli alimkata jina Makame Mbarawa kwa maslahi ya Taifa?

Tomaso bado unataka ushahidi upi zaidi.....
Madhira haya yote huwezi kuyajua km ww ni buku 7

Jukwaa la Siasa
Zanzibar 2020 Je, Rais Dkt. Magufuli alimkata jina Makame Mbarawa kwa maslahi ya Taifa?
Thread starterseedfarm Start dateSaturday at 9:55 PM
Tags None
First
Prev
2 of 2

Moderation
Ignore
Watch

•••
Jile79
Jile79
JF-Expert Member
Yesterday at 1:47 PM
Add bookmark
#21
Titicomb said:
Fafanua mkuu ujinga kivipi?
ccm hawana akili bali wanatumia ubabe wkt hawakubaliki
Quote Reply Select for moderation Report Edit Delete
Gobole
Gobole
JF-Expert Member
Yesterday at 2:11 PM
Add bookmark
#22
Kinjeketile said:
Munajidanganya tu,huyo Mbarawa huko kwao hata la uchaguzi kijijini kwao hashindi alafu utegemee kushi da Uraisi wa Zanzibar/JMT.

Huyo vinamfaa viti maalumu vya Mhe Raisi basi.
Ni kawaida Nabii kutokubalika kwao...Anyway muda utaongea...2025 km Mwenyezi Mungu akitujalia uzima tutaufufua huu uzi...
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Mikopo Chefuchefu
Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
Yesterday at 2:21 PM
Add bookmark
#23
Kwenye uzi huu sitii neno.. Ila, ili kujiongezea maarifa, soma Luka 2:25-32
Screenshot_20200712-141957.png
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Kinjeketile
JF-Expert Member
Yesterday at 2:23 PM
Add bookmark
#24
Gobole said:
Ni kawaida Nabii kutokubalika kwao...Anyway muda utaongea...2025 km Mwenyezi Mungu akitujalia uzima tutaufufua huu uzi...
Labda awe makumu wa Raisi, yaani bora hata Hussein Mwinyi unaweza kumfikiria. Uraisi wa JMT kwa Wazanzibar kipindi hiki cha Vyama vingi ni kazi ngumu sana. Huyo Mwinyi kwa sababu baba yake ni Mndengereko wa kivule na mama yake ni Mzanzibar anaweza kujaribu urais wa JMT.
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
sengobad
sengobad
JF-Expert Member
Yesterday at 2:32 PM
Add bookmark
#25
VAPS said:
Natumai JPM atatumia ushawishi wake awamu ijayo kuandaa mazingira kura maoni tuwe nchi moja. Tunavyozidi kuchelewa werevu na uchumi ukiboreka tutawapoteza Wazanzibari na himaya yetu.
Katika miaka 5 yake uliwahi kusikia kuna Harambee ya kuchangia kitu flani akaalikwa yeye kama mgeni rasmi? hapo ndo huwa kuna ushawishi........
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Titicomb
Titicomb
JF-Expert Member
Yesterday at 4:19 PM
Add bookmark
#26
Jile79 said:
ccm hawana akili
Siasa zinakufanya ujitoe ufahamu.
Huwezi kusema mamilioni ya watu hawana akili bila kipimo chochote cha kuthibitisha hilo kisayansi.
Kwa kutamka tu kauli kama hiyo uliyotumia inaonesha kuna walakini katika uwezo wako wa kutambua jambo zuri au baya.

Kutukana hakukupi urahisi wa kufikisha ujumbe unaokusudia.
Jitafakari mkuu.
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
sblandes
sblandes
JF-Expert Member
Yesterday at 4:46 PM
Add bookmark
#27
Kinjeketile said:
Munajidanganya tu,huyo Mbarawa huko kwao hata la uchaguzi kijijini kwao hashindi alafu utegemee kushi da Uraisi wa Zanzibar/JMT.

Huyo vinamfaa viti maalumu vya Mhe Raisi basi.
Mara mbili katoka kapa kwao.
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
nandengele
JF-Expert Member
Yesterday at 5:00 PM
Add bookmark
#28
sblandes said:
Mara mbili katoka kapa kwao.
Du nilikuwa sijui kumbe kashindwa two times kwa hiyo ana ushawishi wa chini sana
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
sblandes
sblandes
JF-Expert Member
Yesterday at 5:55 PM
Add bookmark
#29
nandengele said:
Du nilikuwa sijui kumbe kashindwa two times kwa hiyo ana ushawishi wa chini sana
Hana kabisa,anaembeba ni Magufuli, ndio maanake alipomteua kuwa waziri kuna siku alisema kama Zanzibar hawakutaki mimi nakupa kazi.
Alikuwa South akifanya kazi huko,ndio watu mashuhuri wakamshawishi arudi ainge Siasa za CCM,kagombea mara mbili uwakilishi anagalagazwa,hata 2015 alianguka ndipo Magufuli kamuokota kwenye ma scrap
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Thanks Reactions:drilling
nandengele
JF-Expert Member
Yesterday at 5:58 PM
Add bookmark
#30
sblandes said:
Hana kabisa,anaembeba ni Magufuli, ndio maanake alipomteua kuwa waziri kuna siku alisema kama Zanzibar hawakutaki mimi nakupa kazi.
Alikuwa South akifanya kazi huko,ndio watu mashuhuli wakamshawishi audio angle Siasa za CCM,kagombea mara mbili uwakilishi anagalagazwa,hata 2015 alianguka ndipo Magufuli kamuokota kwenye ma scrap
Click to expand...Ok so miaka mingi alikuwa anapiga kazi kwa Mandela ? Nilikuwa sijui nilidhan ni mwenyeji kwel kweli pale zenj na si anatpkea pemba na sio Unguja
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
sblandes
sblandes
JF-Expert Member
Yesterday at 6:02 PM
Add bookmark
#31
nandengele said:
Ok so miaka mingi alikuwa anapiga kazi kwa Mandela ? Nilikuwa sijui nilidhan ni mwenyeji kwel kweli pale zenj na si anatpkea pemba na sio Unguja
Hapa huyo jamaa alienda kusoma Russia kwa muda mrefu,baada ya kumaliza akaunganisha Phd Australia ndio akaja South kama mwalimu kwenye chuo kikuu huko.Kwao wanamwita mwana mpotevu.
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
nandengele
JF-Expert Member
Yesterday at 6:06 PM
Add bookmark
#32
sblandes said:
Hapa huyo jamaa alienda kusoma Russia kwa muda mrefu,baada ya kumaliza akaunganisha Phd Australia ndio akaja South kama mwalimu kwenye chuo kikuu huko.
Du kumbe msomi mbobezi kiasi cha kutosha anyway bado atapata post tena namtakia heri njema kwake.
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Thanks Reactions:sblandes
sblandes
sblandes
JF-Expert Member
Yesterday at 6:08 PM
Add bookmark
#33
nandengele said:
Du kumbe msomi mbobezi kiasi cha kutosha anyway bado atapata post tena namtakia heri njema kwake.
Marine engineer mwenye phd si mchezo ni kishoka kweli kweli huyo Professor.
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Kisalilo
Kisalilo
JF-Expert Member
Yesterday at 6:09 PM
Add bookmark
#34
GENTAMYCINE said:
Stop being a Moron you Uncircumcised Baboon.
Upo kama mdada
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
GENTAMYCINE
GENTAMYCINE
JF-Expert Member
Yesterday at 10:29 PM
Add bookmark
#35
Kisalilo said:
Upo kama mdada
Kama vile Wewe ulivyo kama Mama!
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Thanks Reactions:Rubawa
Kisalilo
Kisalilo
JF-Expert Member
Yesterday at 11:34 PM
Add bookmark
#36
GENTAMYCINE said:
Kama vile Wewe ulivyo kama Mama!
upo kama mwanamke wa buza
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
GENTAMYCINE
GENTAMYCINE
JF-Expert Member
Today at 12:02 AM
Add bookmark
#37
Kisalilo said:
upo kama mwanamke wa buza
Aliyekuzaa yuko kama Mwanamke wa Ohio Street Posta.
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Jile79
Jile79
JF-Expert Member
Today at 9:25 AM
Add bookmark
#38
Titicomb said:
Siasa zinakufanya ujitoe ufahamu.
Huwezi kusema mamilioni ya watu hawana akili bila kipimo chochote cha kuthibitisha hilo kisayansi.
Kwa kutamka tu kauli kama hiyo uliyotumia inaonesha kuna walakini katika uwezo wako wa kutambua jambo zuri au baya.

Kutukana hakukupi urahisi wa kufikisha ujumbe unaokusudia.
Jitafakari mkuu.
Click to expand...Sawa mkuu nakuletea utafiti unaoonyesha ccm hawana akili......
-wanafurahia watu kutekwa kuteswa na kupiga risasi
- walibaka katiba ya wananchi ya warioba Ila kwa kua hawana akili wao wanafanya marekebisho ya katiba kuwaweka watu juu ya sheria eti wasishitakiwe wakivunja katiba hizi ni akili mbovu haijawahi kutokea duniani kote
-kutokua na akili kwa ccm ni kutumia jeshi kushughulikia swala na Korosho badala ya kuwekeza kwenye negotiations na principles za kiuchumi.....kutumia jeshi kwenye korona ni kujichora kua ccm hawana akili kabisa
-kujaribu kuwaangusha matajiri ili masikini waishi km malaika ni ccm tu wasiona akili ndio wanaweza kua na fikra mfu km hizi. Dunia inahangaika kuwawezesha masikini wawe km matajiri sio kuwashusha matajiri. Haya kauli zenu hizi chafu zimewakimbiza wawekezaji kwenda nchi jirani
-ccm hawana akili kabisa kwa sababu wanajiapiza hadharani kuua watz wenzao tena hawachukuliwi hatua yoyote. Km una akili huwezi kufanya maapizo ya kishetani km haya
- ccm hawana akili kwa sababu wameharibu uchumi wa nchi...m

Mengi sn mkuu huo ni utafiti mdogo tu orodha ni ndefu
Quote Reply Select for moderation Report Edit Delete
Titicomb
Titicomb
JF-Expert Member
Today at 11:50 AM
Add bookmark
#39
Jile79 said:
Sawa mkuu nakuletea utafiti unaoonyesha ccm hawana akili......
-wanafurahia watu kutekwa kuteswa na kupiga risasi
- walibaka katiba ya wananchi ya warioba Ila kwa kua hawana akili wao wanafanya marekebisho ya katiba kuwaweka watu juu ya sheria eti wasishitakiwe wakivunja katiba hizi ni akili mbovu haijawahi kutokea duniani kote
-kutokua na akili kwa ccm ni kutumia jeshi kushughulikia swala na Korosho badala ya kuwekeza kwenye negotiations na principles za kiuchumi.....kutumia jeshi kwenye korona ni kujichora kua ccm hawana akili kabisa
-kujaribu kuwaangusha matajiri ili masikini waishi km malaika ni ccm tu wasiona akili ndio wanaweza kua na fikra mfu km hizi. Dunia inahangaika kuwawezesha masikini wawe km matajiri sio kuwashusha matajiri. Haya kauli zenu hizi chafu zimewakimbiza wawekezaji kwenda nchi jirani
-ccm hawana akili kabisa kwa sababu wanajiapiza hadharani kuua watz wenzao tena hawachukuliwi hatua yoyote. Km una akili huwezi kufanya maapizo ya kishetani km haya
- ccm hawana akili kwa sababu wameharibu uchumi wa nchi...m

Mengi sn mkuu huo ni utafiti mdogo tu orodha ni ndefu
Naona umekimbilia kutuma ujumbe na mavitu yote toka kwenye system yenu feki ya web-scraping!!!
Nyie ni wafanyakazi hewa kwa boss wenu aliyewalipa kufanya hii kazi mitandaoni.

Fanyeni vitu professionally.
 
Ulikuwepi wakati anakatwa. Watanzania kwa umbea mmeshindikana
 
Members, kwa jicho la tatu na hotuba ya mheshimiwa Rais Magufuli kwenye mkutano mkuu wa CCM 2020, Hotuba yake ya kutoka kichwani ina mambo mengi sana.

Kuna usemi usemao limjaalo mtu ndio limtokalo, ni dhahiri mifano ya Dkt Magufuli kuwa Rais mstaafu Kikwete aliwakata marafiki zake kwa maslahi ya Taifa na yeye wasimshangae ameiga kwao, Je? Kilichomkuta Prof Mbarawa ni kwa maslahi ya Taifa.

Katika hotuba yake kwenye halmashauri ukuu alieleza kuwa kuna watu wanasema nambeba Prof Mbarawa sasa hayupo kwenye tatu bora,watafute kingine cha kuongea

Watu humuita Magufuli Mkali lakini nyuma ya Pazia aliambiwa akaze mwendo

Kuna mambo mengi ya kujifunza ukali wa Magufuli unatokana na nchi alivyoikuta na alivyokabidhiwa toka kwa wakubwa wake,Je aliambiwa awe mkali sana na yeye amefanya kama alivyokabidhiwa?
Hiyo ni hulka yake miaka na miaka tangu akiwa waziri.. Ukali ni inborn character
 
Natumai JPM atatumia ushawishi wake awamu ijayo kuandaa mazingira kura maoni tuwe nchi moja. Tunavyozidi kuchelewa werevu na uchumi ukiboreka tutawapoteza Wazanzibari na himaya yetu.

Muungano uliopo sasa hauna muundo mzuri na kuna mchanganyiko sana. Kama Rais JPM ni wa Jamhuri ikijumuisha na Zanzibar, hakuna maana ya kuwa na Rais wa Zanzibar. Muungo Sahihi ungekuwa nikuwa wakuu wa serikali kama waziri mkuu Bara na wa Zanzibar waongoze serikali zao!! Kama sio hivo mikoa ya zanziba iwe na hadhi sawa na mikoa ya bara na kusiwe na baraza la wawakilishi wala Rais na makamu wake na sijui mawaziri.
 
Mkuu mimi sipo kwenye hilo kundi.
Hata hivyo naona mnafeli kwenye kitengo chenu cha propaganda na IT. Intelijensia yenu ina-fail sana kama mmeshindwa kujuwa mimi sipo huko buku 7.
I ain't working for anybody, I'm just a freeminded person with independent views of political issues.
So to do what you did isn't gonna scare, discourage or stop me from giving out my views.

Sasa madude yote hayo uliyoniwekea ndiyo nini?
Endelea kua na maoni yako huru lkn pia heshimu maoni huru ya wenzako.....

Ila kumbuka uhuru wako sio tu zati eksitenti miuu
 
Naona umekimbilia kutuma ujumbe na mavitu yote toka kwenye system yenu feki ya web-scraping!!!
Nyie ni wafanyakazi hewa kwa boss wenu aliyewalipa kufanya hii kazi mitandaoni.

Fanyeni vitu professionally.
Unasema uko na mawazo huru wkt ni mlamba makalio wa lumumba ili upate cheo.....
 
Nakubaliana na ww...huyu ndie ajae JMT...vibox vimetimia vyote...alimruhusu kugombea ili kupata exposure tu na sio zaidi ya hapo na alijua akimruhusu aingie 3 bora angempa changamoto Mwinyi au ht kuwagawa wajumbe...game well played...tumsubiri 2025
2030 mkuu

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Mbona liko wazi Mwinyi kapewa kiti kwa sababu ya Muungano,Mwinyi amekaa ofisi ya Muungano kwa muda mrefu.Kuna watu wanapigania kila siku Muungano uvunjike ila vyombo vya usalama vinamwaga damu juu ya Muungano...Hail Mwinyi,Hail Muungano!
 
Unasema uko na mawazo huru wkt ni mlamba makalio wa lumumba ili upate cheo.....
Huko Lumumba hata hawanijui mimi ni nani laba wanijue baada ya kunidukua tu kama wanavyofanya wenzao.

Sipo kutafuta chochote zaidi ya Tanzania bora kwa vizazi vyangu vijavyo. Kwa hivyo nikiona ma-snitch wanajipendekeza kwa adui wa maendeleo ya nchi yetu lazima nitoe maoni ya kupinga, mana wanazuia Tanzania bora ya kesho ya uzao wangu.

Sitaki wajukuu zangu waje kuishi ndani ya Tanzania maskini na mbovu mbovu kama hii na iliyopita.
 
Endelea kua na maoni yako huru lkn pia heshimu maoni huru ya wenzako.....

Ila kumbuka uhuru wako sio tu zati eksitenti miuu
Kwa hivyo unanitishia au?
We only live once and die once, so I ain't scared a shit. I'm down for whatever!
 
Huko Lumumba hata hawanijui mimi ni nani laba wanijue baada ya kunidukua tu kama wanavyofanya wenzao.

Sipo kutafuta chochote zaidi ya Tanzania bora kwa vizazi vyangu vijavyo. Kwa hivyo nikiona ma-snitch wanajipendekeza kwa adui wa maendeleo ya nchi yetu lazima nitoe maoni ya kupinga, mana wanazuia Tanzania bora ya kesho ya uzao wangu.

Sitaki wajukuu zangu waje kuishi ndani ya Tanzania maskini na mbovu mbovu kama hii na iliyopita.
Ccm hasa Awamu hii imeharibu uchumi wa nchi sasa unashabikia kitu gani km ww sio mlumumba mkomavu?
 
Concept ya kuharibu uchumi inatakiwa iambatane na takwimu kama ushahidi kuipa nguvu hoja yako.
Unaweka kipindi hiki ilikuwa namba hizi na uchumi ulikuwa jumuishi kiasi gani, kisha unaweka vielelezo vingine vinavyohusu awamu hii kisha unaonesha hapa kimeshuka hiki na uchumi umekuwa jumuishi kiwango hiki.

Hivyo ndivyo wanavyofanya waelewa unapokosoa au kujadili kuhusu uchumi, siyo unarusha tu maneno tupu ya tuhuma kama vile unaweka mitazamo binafsi siyo 'facts'.

Na hivyo vielelezo au viambatanisho unatoa kutoka ktk vyanzo vinavyo heshimika(reputable) na kuaminika(reliable and trustwothy) kama IMF, WB, BOT, NDS, MOF, AfDB, n.k.
 
Tuliposema hapo mapema kuwa huyu jamaa ni dikteta, watu wa Lumumba walitushukia na kututukana.

Hivi sasa wenyewe wanaccm wanasimulia udikteta wa huyo jamaa, hata hivyo imekuwa "too late" wakati jamaa keshakaza mwendo na kuwaacha wanaccm, wakilia na kusaga meno!
Dikteta au sultani ni Mbowe na Maalimu Seif,vyama na vyeo wamebinaifisha na kuwa mali yao
 
Concept ya kuharibu ucumi inatakiwa iambatane na takwimu kama ushahidi kuipa nguvu hoja yako.
Unaweka kipindi hiki ilikuwa namba hizi na uchumi ulikuwa jumuishi kiasi gani, kisha unaweka vielelezo vingine vinavyohusu awamu hii kisha unaonesha hapa kimeshuka hiki na uchumi umekuwa jumuishi kiwango hiki.

Hivyo ndivyo wanavyofanya waelewa unapokosoa au kujadili kuhusu uchumi, siyo unarusha tu maneno tupu ya tuhuma kama vile unaweka mitazamo binafsi siyo 'facts'.

Na hivyo vielelezo au viambatanisho unatoa kutoka ktk vyanzo vinavyo heshimika(reputable) na kuaminika(reliable and trustwothy) kama IMF, WB, BOT, NDS, MOF, AfDB, n.k.
Nikiamua kuachana na mabeberu unaowaabudu kua wanatakwimu zako nikakuletea uhalisia wa maisha ya kitanzania na uhalisia kisekta utaukubali au tusimamie mabeberu.......
 
Concept ya kuharibu uchumi inatakiwa iambatane na takwimu kama ushahidi kuipa nguvu hoja yako.
Unaweka kipindi hiki ilikuwa namba hizi na uchumi ulikuwa jumuishi kiasi gani, kisha unaweka vielelezo vingine vinavyohusu awamu hii kisha unaonesha hapa kimeshuka hiki na uchumi umekuwa jumuishi kiwango hiki.

Hivyo ndivyo wanavyofanya waelewa unapokosoa au kujadili kuhusu uchumi, siyo unarusha tu maneno tupu ya tuhuma kama vile unaweka mitazamo binafsi siyo 'facts'.

Na hivyo vielelezo au viambatanisho unatoa kutoka ktk vyanzo vinavyo heshimika(reputable) na kuaminika(reliable and trustwothy) kama IMF, WB, BOT, NDS, MOF, AfDB, n.k.

Well. Let's talk political economics

1. Can you provide economical justification(s) for JPM's decision to use almost trillions of TZS to buy aeroplanes in a nation where 60+ percent of wananchi are farmers and not more than 5M people are employed in the formal sector?

2. Why isn't Magufuli's government allocating 10 percent of its budget to the agro sector as per the 2003 Maputo Declaration on Agriculture and Food Security in Africa, which the Tanzania government rectified?
 
Well, Good questions!
But can we be consistent and discuss one thing at a time?
We can focus on how Magufuli has wrecked his country's economy by putting figures on the table and be professional on our stats, I mean let's use reliable and reputable sources.

Then we can go for your questions, and it will be wise if we create a special thread for that discussion.
OR
Just open new thread, invite me there and I will be very glad to participate fully without any excuses.
 
Angekuwa kwenye 3 bora likely kungekuwa na confusion kwenye kura wengi wangemchagua mbarawa na wengi wangemchagua mwinyi hivyo kungekuwa na possibility japo kura 1 au 2 angezidiwa mwinyi.

Jamaa zangu wa Zanzibar kura zao 35 zilienda kwa Dr. Khalid na Shamsi sasa hazikufua dafu inabidi waukubali tu msalaba na muendelezo wa kuchaguliwa rais kutoka Tanganyika.
Aisee!! Inauma hii lakini.
 
Back
Top Bottom