Zanzibar 2020 Je, Rais Dkt. Magufuli alimkata jina Makame Mbarawa kwa maslahi ya Taifa?

Naona umekimbilia kutuma ujumbe na mavitu yote toka kwenye system yenu feki ya web-scraping!!!
Nyie ni wafanyakazi hewa kwa boss wenu aliyewalipa kufanya hii kazi mitandaoni.

Fanyeni vitu professionally.
 
Ulikuwepi wakati anakatwa. Watanzania kwa umbea mmeshindikana
 
Hiyo ni hulka yake miaka na miaka tangu akiwa waziri.. Ukali ni inborn character
 
Natumai JPM atatumia ushawishi wake awamu ijayo kuandaa mazingira kura maoni tuwe nchi moja. Tunavyozidi kuchelewa werevu na uchumi ukiboreka tutawapoteza Wazanzibari na himaya yetu.

Muungano uliopo sasa hauna muundo mzuri na kuna mchanganyiko sana. Kama Rais JPM ni wa Jamhuri ikijumuisha na Zanzibar, hakuna maana ya kuwa na Rais wa Zanzibar. Muungo Sahihi ungekuwa nikuwa wakuu wa serikali kama waziri mkuu Bara na wa Zanzibar waongoze serikali zao!! Kama sio hivo mikoa ya zanziba iwe na hadhi sawa na mikoa ya bara na kusiwe na baraza la wawakilishi wala Rais na makamu wake na sijui mawaziri.
 
Endelea kua na maoni yako huru lkn pia heshimu maoni huru ya wenzako.....


Ila kumbuka uhuru wako sio tu zati eksitenti miuu
 
Naona umekimbilia kutuma ujumbe na mavitu yote toka kwenye system yenu feki ya web-scraping!!!
Nyie ni wafanyakazi hewa kwa boss wenu aliyewalipa kufanya hii kazi mitandaoni.

Fanyeni vitu professionally.
Unasema uko na mawazo huru wkt ni mlamba makalio wa lumumba ili upate cheo.....
 
Nakubaliana na ww...huyu ndie ajae JMT...vibox vimetimia vyote...alimruhusu kugombea ili kupata exposure tu na sio zaidi ya hapo na alijua akimruhusu aingie 3 bora angempa changamoto Mwinyi au ht kuwagawa wajumbe...game well played...tumsubiri 2025
2030 mkuu

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Mbona liko wazi Mwinyi kapewa kiti kwa sababu ya Muungano,Mwinyi amekaa ofisi ya Muungano kwa muda mrefu.Kuna watu wanapigania kila siku Muungano uvunjike ila vyombo vya usalama vinamwaga damu juu ya Muungano...Hail Mwinyi,Hail Muungano!
 
Unasema uko na mawazo huru wkt ni mlamba makalio wa lumumba ili upate cheo.....
Huko Lumumba hata hawanijui mimi ni nani laba wanijue baada ya kunidukua tu kama wanavyofanya wenzao.

Sipo kutafuta chochote zaidi ya Tanzania bora kwa vizazi vyangu vijavyo. Kwa hivyo nikiona ma-snitch wanajipendekeza kwa adui wa maendeleo ya nchi yetu lazima nitoe maoni ya kupinga, mana wanazuia Tanzania bora ya kesho ya uzao wangu.

Sitaki wajukuu zangu waje kuishi ndani ya Tanzania maskini na mbovu mbovu kama hii na iliyopita.
 
Endelea kua na maoni yako huru lkn pia heshimu maoni huru ya wenzako.....


Ila kumbuka uhuru wako sio tu zati eksitenti miuu
Kwa hivyo unanitishia au?
We only live once and die once, so I ain't scared a shit. I'm down for whatever!
 
Ccm hasa Awamu hii imeharibu uchumi wa nchi sasa unashabikia kitu gani km ww sio mlumumba mkomavu?
 
Ccm hasa Awamu hii imeharibu uchumi wa nchi sasa unashabikia kitu gani km ww sio mlumumba mkomavu?
Concept ya kuharibu uchumi inatakiwa iambatane na takwimu kama ushahidi kuipa nguvu hoja yako.
Unaweka kipindi hiki ilikuwa namba hizi na uchumi ulikuwa jumuishi kiasi gani, kisha unaweka vielelezo vingine vinavyohusu awamu hii kisha unaonesha hapa kimeshuka hiki na uchumi umekuwa jumuishi kiwango hiki.

Hivyo ndivyo wanavyofanya waelewa unapokosoa au kujadili kuhusu uchumi, siyo unarusha tu maneno tupu ya tuhuma kama vile unaweka mitazamo binafsi siyo 'facts'.

Na hivyo vielelezo au viambatanisho unatoa kutoka ktk vyanzo vinavyo heshimika(reputable) na kuaminika(reliable and trustwothy) kama IMF, WB, BOT, NDS, MOF, AfDB, n.k.
 
Dikteta au sultani ni Mbowe na Maalimu Seif,vyama na vyeo wamebinaifisha na kuwa mali yao
 
Nikiamua kuachana na mabeberu unaowaabudu kua wanatakwimu zako nikakuletea uhalisia wa maisha ya kitanzania na uhalisia kisekta utaukubali au tusimamie mabeberu.......
 

Well. Let's talk political economics

1. Can you provide economical justification(s) for JPM's decision to use almost trillions of TZS to buy aeroplanes in a nation where 60+ percent of wananchi are farmers and not more than 5M people are employed in the formal sector?

2. Why isn't Magufuli's government allocating 10 percent of its budget to the agro sector as per the 2003 Maputo Declaration on Agriculture and Food Security in Africa, which the Tanzania government rectified?
 
Well, Good questions!
But can we be consistent and discuss one thing at a time?
We can focus on how Magufuli has wrecked his country's economy by putting figures on the table and be professional on our stats, I mean let's use reliable and reputable sources.

Then we can go for your questions, and it will be wise if we create a special thread for that discussion.
OR
Just open new thread, invite me there and I will be very glad to participate fully without any excuses.
 
Aisee!! Inauma hii lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…