johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katiba siyo msahafu.....usiishi kwa kukariri!I am not Bavicha anyway! I normally think of you as an educated man, understanding one, reasonable, truth telling man. Now if you can dare write/say that sentence, then I need to block you!
Huyu aliteuliwa 2019, sifa maalum miaka 5 bado, afrter all huyu ameteulwa kuwa Justice of appeal not high court judge!maalum kwa muda usiopungua miaka mitano.
Umechanganua vizuri sana.Mkuu, kuhusu "consultation" huenda uko sahihi katika hoja yako ikiwa masharti ya Ibara ya 109 (2) ya Katiba ya JMT, 1977, hayakuzingatiwa ambapo inasema hivi:.
Wewe unatumia katiba gani bwashee?Huyu aliteuliwa 2019, sifa maalum miaka 5 bado
Punguza mnato wa akiliMbona Jaji mkuu na Spika Ndugai walimpongeza kwa uteuzi ule?
Wewe unaijua katiba kuliko mihimili ya bunge na mahakama?
Wewe Bavicha ni bure kabisa!
Mkuu nakuomba utulie tu utaishia kuugua vidonda vya tumbo,Huyu aliteuliwa 2019, sifa maalum miaka 5 bado, afrter all huyu ameteulwa kuwa Justice of appeal not high court judge!
You must be a shyster lawyer if at all you one anyway!!Daa, inaskitisha kuona tafsiri rahisi ya hiyo Article inakutoa jasho.
Hapa sijazungumzia misingi ya kutafsiri Katiba ambayo kwa ulichofanya hapo unaonekana kituko.
Na ukute we ni Wakili tena very Senior.
The other Justices of Appeal shall be appointed by the President after consultation with the Chief Justice, from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of the United Republic as provided for in Article 109 of this Constitution, or from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of Zanzibar in accordance with the laws applicable in Zanzibar and have possessed such qualifications for a period of not less than fifteen years...
Very few in Tanzania can see your point! You have said all...Ni jambo jema Jaji kuwa na ujasiri wa kutumia Kiswahili, lakini uteuzi wake umefanywa kikanjanja sana.
Uteuzi wa kuropoka tu jukwaani unafanya watu waanze kuhoji kuhusu uhuru wa mahakama!
Hii inaleta picha kwamba Rais ana uwezo wa kumteua jaji kwa mihemko yake binafsi tu!!!
Uhuru wa mahakama ni jambo nyeti na delicate! Mihemko ya kukurupuka majukwaanii inaondoa confidence ya watu juu ya mahakama.
Never, soma tena kuna kuinganishi or.... both from Zanzibar and Tz mainlandinabidi awe katimiza hiyo miaka15 ya utumishi kama jaji. Inawezekana hiyo sheria sio applicable kwa majaji wa bara.
Teh teh teh🤣🤣🤣najua umeelewa.You must be a shyster lawyer if at all you one anyway!!
Sio J5 ni kesho J4 afu katiba hubadilishwa kwa utaratibuKatiba siyo msahafu.....usiishi kwa kukariri!
Jumatano utakaribishwa kwenye uapisho.
Huyu mtu anapotosha kabisa tena kwenye tafsiri rahisi kabisa.Never, soma tena kuna kuinganishi or.... both from Zanzibar and Tz mainland
Haka ka-dikteta kanaendelea kuteua shangazi zake kila uchwao.The other Justices of Appeal shall be appointed by the President after consultation with the Chief Justice, from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of the United Republic as provided for in Article 109 of this Constitution, or from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of Zanzibar in accordance with the laws applicable in Zanzibar and have possessed such qualifications for a period of not less than fifteen years...
Aliposema "kuanzia leo" alikuwa namaana gani"Mkuu, kiutaratibu appointment inakamilika pale mhusika anakapokabidhiwa barua ya uteuzi na kusaini kukubali uteuzi huo. So, kwa kuwa process hiyo haijakamilika maana yake hakuna uteuzi uliofanyika na, kwa maana hiyo, Rais hajavunja Katiba.
Atashauriana na wahusika hapo baadaye kama Katiba inavyotaka na mhusika kuteuliwa rasmi kwa barua kukamilisha process. Ni mtazamo wangu tu lakini.
It’s true some languages have more utility than others depending on context and purpose, but that’s not a function of hierarchy.Ukitaka maajabu njoo Tanzania na fuatilia kauli na teuzi za Rais. Huyo Jaji Zephania anajua kabisa kuwa lugha ya Mahakama Kuu ni Kiingereza. Kwa hiyo kitendo cha kuandika hukumu kwa Kiswahili alipaswa achukuliwe hatua..