Je, Rais Magufuli amevunja Katiba kwa kumteua Jaji Zepherine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa?

Je, Rais Magufuli amevunja Katiba kwa kumteua Jaji Zepherine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa?

I am not Bavicha anyway! I normally think of you as an educated man, understanding one, reasonable, truth telling man. Now if you can dare write/say that sentence, then I need to block you!
Katiba siyo msahafu.....usiishi kwa kukariri!

Jumatano utakaribishwa kwenye uapisho.
 
maalum kwa muda usiopungua miaka mitano.
Huyu aliteuliwa 2019, sifa maalum miaka 5 bado, afrter all huyu ameteulwa kuwa Justice of appeal not high court judge!
 
Mkuu, kuhusu "consultation" huenda uko sahihi katika hoja yako ikiwa masharti ya Ibara ya 109 (2) ya Katiba ya JMT, 1977, hayakuzingatiwa ambapo inasema hivi:.
Umechanganua vizuri sana.

Rais ni Taasisi na kwa maana hiyo yote yalizingatiwa!
 
Ukitaka maajabu njoo Tanzania na fuatilia kauli na teuzi za Rais. Huyo Jaji Zephania anajua kabisa kuwa lugha ya Mahakama Kuu ni Kiingereza. Kwa hiyo kitendo cha kuandika hukumu kwa Kiswahili alipaswa achukuliwe hatua.

Wasiojua kuandika na kuongea English wanapeana shavu. Kwa kuwa yeye Meko anaongea broken English anahalalisha udhaifu wake kwa kubariki makosa. Kimsingi huyo Jaji hakupaswa kuwa JAJI wa Mahakama Kuu, instead alipaswa kuwa Hakimu wa Mahakama za chini tu.
 
Mbona Jaji mkuu na Spika Ndugai walimpongeza kwa uteuzi ule?

Wewe unaijua katiba kuliko mihimili ya bunge na mahakama?

Wewe Bavicha ni bure kabisa!
Punguza mnato wa akili
Vifungu vya katiba umenukuliwa hapo au unasubiri mtu akutafsiriwe kwa Kimachame
Mbege ya msesewe ni hatari kwa afya ya ubongo wako and that is if you have any grey matter
 
Huyu aliteuliwa 2019, sifa maalum miaka 5 bado, afrter all huyu ameteulwa kuwa Justice of appeal not high court judge!
Mkuu nakuomba utulie tu utaishia kuugua vidonda vya tumbo,

Raisi anamamlaka yakufanya chochote kadri awezavyo au itakavyompendeza ilimradi tu hicho kitu kiwe na manufaa kwa Taifa,

Na hashitakiwi popote pale kwa sheria zenu hizo hizo mnazozikazia mishipa ya shingo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Daa, inaskitisha kuona tafsiri rahisi ya hiyo Article inakutoa jasho.

Hapa sijazungumzia misingi ya kutafsiri Katiba ambayo kwa ulichofanya hapo unaonekana kituko.

Na ukute we ni Wakili tena very Senior.
 
You must be a shyster lawyer if at all you one anyway!!
 
The other Justices of Appeal shall be appointed by the President after consultation with the Chief Justice, from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of the United Republic as provided for in Article 109 of this Constitution, or from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of Zanzibar in accordance with the laws applicable in Zanzibar and have possessed such qualifications for a period of not less than fifteen years...

Mkuu kama I read it correctly nukuu yako, ni kwamba kama jaji anatokea Znz ndo inabidi awe katimiza hiyo miaka15 ya utumishi kama jaji. Inawezekana hiyo sheria sio applicable kwa majaji wa bara.

Ingekua vyema utuambie huyu jaji mteule katumikia ujaji kwa miaka mingapi na anatokea wapi Bara/Znz.

Kuhusu mashauriano (consultation) una uthibitisho gani Rais hajafanya na CJ? Sheria inawataka waweke hadharani kwamba wamefanya hivyo?
 
Ni jambo jema Jaji kuwa na ujasiri wa kutumia Kiswahili, lakini uteuzi wake umefanywa kikanjanja sana.

Uteuzi wa kuropoka tu jukwaani unafanya watu waanze kuhoji kuhusu uhuru wa mahakama!

Hii inaleta picha kwamba Rais ana uwezo wa kumteua jaji kwa mihemko yake binafsi tu!!!

Uhuru wa mahakama ni jambo nyeti na delicate! Mihemko ya kukurupuka majukwaanii inaondoa confidence ya watu juu ya mahakama.
 
Very few in Tanzania can see your point! You have said all...
 
inabidi awe katimiza hiyo miaka15 ya utumishi kama jaji. Inawezekana hiyo sheria sio applicable kwa majaji wa bara.
Never, soma tena kuna kuinganishi or.... both from Zanzibar and Tz mainland
 
Never, soma tena kuna kuinganishi or.... both from Zanzibar and Tz mainland
Huyu mtu anapotosha kabisa tena kwenye tafsiri rahisi kabisa.

Hiyo ibara haijasema lazima mtu awe jaji wa Mahakama kuu ndipo anaweza teuliwa kuwa Jaji wa Court of Appeal. Hiyo Ibara iko very plain, ili mtu ateuliwe kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani lazima awe na sifa za kuteuliwa kuwa Jaji na awe nazo kwa mda usio pungua miaka 15 not neccessarily awe ameshakuwa Jaji.

Lakini pia hakupaswa kuleta ka Article kamoja Tena ka sub Article, ili kuleta uelewa alipaswa alete article 109 yote na 118 yote ili zisomwe pamoja. Alichokifanya huyu the so called Lawyer ni ungumbalu ambao hata mtoto ambaye ana miezi 3 pale Tumaini University kitivo Cha sheria hawezi fanya.
 
The other Justices of Appeal shall be appointed by the President after consultation with the Chief Justice, from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of the United Republic as provided for in Article 109 of this Constitution, or from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of Zanzibar in accordance with the laws applicable in Zanzibar and have possessed such qualifications for a period of not less than fifteen years...
Haka ka-dikteta kanaendelea kuteua shangazi zake kila uchwao.
 
Mkuu, kiutaratibu appointment inakamilika pale mhusika anakapokabidhiwa barua ya uteuzi na kusaini kukubali uteuzi huo. So, kwa kuwa process hiyo haijakamilika maana yake hakuna uteuzi uliofanyika na, kwa maana hiyo, Rais hajavunja Katiba.

Atashauriana na wahusika hapo baadaye kama Katiba inavyotaka na mhusika kuteuliwa rasmi kwa barua kukamilisha process. Ni mtazamo wangu tu lakini.
Aliposema "kuanzia leo" alikuwa namaana gani"
 
Ameshavunja hapo kabla na hakukua na hatua zozote, so kwasasa ni wazi kuwa yuko juu ya katiba.
 
Ukitaka maajabu njoo Tanzania na fuatilia kauli na teuzi za Rais. Huyo Jaji Zephania anajua kabisa kuwa lugha ya Mahakama Kuu ni Kiingereza. Kwa hiyo kitendo cha kuandika hukumu kwa Kiswahili alipaswa achukuliwe hatua..
It’s true some languages have more utility than others depending on context and purpose, but that’s not a function of hierarchy.
 
Back
Top Bottom